Kiwanja kinauzwa 35mX22m Kihonda Morogoro

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
172
104
Habari!
Kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa mita 35x22 ambacho kipo katikati ya makazi ya watu mtaa wa kihonda morogoro mjini kinauzwa.
Kiwanja kina nyaraka zote muhimu na kina asses na infrastructure zote! Bei yake ni 7Mil tu!
Nicheki kupitia 0762494688. Tafadhsli usibeep!
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 32x22m kilichopo katikati ya makazi ya watu kinauzwa kwa bei ya Tshs 7.6mil tu!. Kiwanja hiki kimeshapimwa na kina documents zote muhimu. kipo Morogoro Mjini mtaa wa "Kwa Manyuki' ukitaka kufika panda gari za kihonda-mjini then shuka kituo "Mazimbu Road" unaweza kutembea kama ni mwenyeji ama ukakod bodaboda sh 2500/=
Unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0762494688 muda wowote. Tafadhali usibeep
 
wewe lazima utakuwa dalali!!!
 
Hiyo bei kwa Morogoro sio sahihi. Sentensi yenyewe umemalizia na alama ya mshangao. Bei hataitakiwi ifike kwenye Tshs. 5,000 kwa 1sqm. Bei yako inamaana unauza 1sqm kwa Tshs. 10,795.45
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom