Kiwanja kinahitajika

Jan 10, 2012
63
26
Natafuta kiwanja, maeneo ya tegeta,boko,salasala kiwe kimepimwa au hata kama hakijapimwa ukubwa wa sqm 1000 na zaidi, budget ni sh 14 hadi 16 M.
 
Nikuuzie kiwanja Tegeta basihaya heka 1 haijapimwa kwa 14m? ni pm au nipigie 0657 145555
 
kiwanja mi ninacho tegeta mivumoni kimepimwa sqm 873 bei yake ni ml 15 nipigie 0714104788
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom