Kiwanja kinachotumika challenge Kampala ni udhalilishaji

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
266
54
Huku ni kudhalilisha wachezaji, soccer lenyewe na nchi shiriki.Cecafa isirudie tena ujinga huu kupeleka mashindano nchi ambayo haina playgrounds nzuri, result ni kwamba matokeo yanayotokea uwanjani hayatokani na ubora wa mchezo,wachezaji ama mbinu nyingine halali za soka bali ni influence ya hali ya uwanja
 
Ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji nywele zako.
Viwanja vya nyasi za asili huwa vinatakiwa kufanyiwe uwekaji upya wa nyasi kila baada ya misimu kadhaa kutegemea na utumiaji wa uwanja wenyewe.
Nyasi zikikaa misimu mingi zinadevelop mizizi imara na udongo hukakamaa kwa vile unakanyagwa mara kwa mara, yakitokea hayo uwezo wa uwanja kufyonza maji na kuyapitisha kupitia mabomba ya chini unapungua na matokeo yake mvua ikinyesha uwanja una-Nambooleka.
Kama hatutakuwa makini Uwanja wa Mchina nao utaelekea huko huko...
 
waganda wenyewe wanatamani laiti kama mashindano yangefanyikia bongo ili waguse tu walau kapeti la uwanja wa taifa tz....bongo oyeeee
 
Back
Top Bottom