Magari ya Biashara

Senior Member
Sep 16, 2019
183
568
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.

Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.

Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji.

Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1.

DIRECTION YA SHAMBA LILIPO

Ukiwa unatokea arusha ...kuna sehemu inaitwa bwiko kwa profesa Asad..kuna ghorofa moja ipo barabarani..unakata kulia baada ya hapo bwiko ni kilometa 25 mpaka shambani..

Ukiwa unatokea Dar ukitokea korogwe unakata sehemu inaitwa Mazinde kwa mohamedi entreprise kutokea hapo ni kilometa 35 mpaka shambani....

Kwa maana hiyo shamba lipo kati kati ya Mazinde ya kwa mohamedi dewji na bwiko kwa profesa Asad..

0782 780 980 au 0677 81 82 83 (whatsapp)

Pia Kama unahitaji kukodisha..tunaweza kuzungumza

WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.52.jpeg

WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.52.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.59 (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.35.59.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 20.36.03 (1).jpeg

Pia Kama unahitaji kukodisha..tunaweza kuzungumza
 
Eneo Lilipo: Kigamboni Kibada

Aina ya eneo: Eneo la makazi

Ukubwa wa kiwanja: 84 x 62 (miguu) Hapa unapata viwanja vya (28 * 21) VITATU

Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu

Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo

Nyaraka: Full Documents Kina hatimiliki.
BEI : Milioni 12 (FIXED)
0782 780 980 AU 0677 81 82 83

SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD

WhatsApp Image 2019-09-16 at 09.48.44.jpeg

WhatsApp Image 2019-09-16 at 09.48.45.jpeg
WhatsApp Image 2019-09-16 at 09.48.46.jpeg

SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD
 
1m = 3.3 kwa 84 ÷ 3.3 = 25M na 62 ft ÷ 3.3 = 18.7 m
Kweli kwenye kiwanja cha 25m x 18 m unaweza kupata viwanja vitatu? Tuwe wa kweli.
 
84 * 62 hiki kipimo cha miguu (nimeandika feet) na ndio kipimo kilichozoeleka.. na huwa sio hicho unachopigia hesabu wewe... Maana yake hapo ni miguu 84 upana kwa miguu 62...
Haya kama umetumia feet, kiwanja chako ni 84ft x 62 ft = 5208 sq ft.
Na 1sq ft = 0.093 sq m, kwa hyo 5208 sq ft unapata appr. 480 sq m sasa hapa useme utatoa viwanja vitatu vtakua vdogo snaa
 
Eneo Lilipo: Kigamboni Kibada

Aina ya eneo: Eneo la makazi

Ukubwa wa kiwanja: 84 x 62 (miguu) Hapa unapata viwanja vya (28 * 21) VITATU

Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu

Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo

Nyaraka: Full Documents Kina hatimiliki.
BEI : Milioni 12 (FIXED)
0782 780 980 AU 0677 81 82 83

View attachment 1210356
View attachment 1210358View attachment 1210359
eneo limepimwa na lina hati miliki ....limepimwa kwa Miguu!
 
Haya kama umetumia feet, kiwanja chako ni 84ft x 62 ft = 5208 sq ft.
Na 1sq ft = 0.093 sq m, kwa hyo 5208 sq ft unapata appr. 480 sq m sasa hapa useme utatoa viwanja vitatu vtakua vdogo snaa

Jiongeze, mguu anakadiria mita 1 kwa mguu moja kwa hyo wastani unaweza pata mita 70++ kwa 50+++ na si futi zako hizo
 
Hatua ya miguu ya mtu mzima ni metre 1, so uko sawa kabisa. jamaa yeye kazibadilisha kuwa futi na hilo sio sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom