Kiwanja inauzwa Pugu Mwakanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja inauzwa Pugu Mwakanga.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Lady, Sep 8, 2010.

 1. L

  Lady JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kiwanja kinauzwa Pugu mwakanga, kimepimwa na kina offer, kina square metre 1200+ .
  Gari linafika mpaka kwenye kiwanja, ni tambarare pazuri, hapatuami maji,
  Ukitaka kununua nitakusaidia na kufanya transfer kiwe kwa jina lako, utalipia tu valuation fees.
  Kiwanja kinauzwa milioni 6.
  If you are interested tuwasiliane kwa email hii : mtumishijoy@gmail.com
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Sorry hapo una maanisha nini??Then kama upo serious na unakiuza kweli naomba piga picha ikiwezekana ya hiyo sehemu then ni PM nikupe mail yangu unitumie nikione then tutafanya biashara........Thanks!
   
 3. L

  Lady JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nipo serious, nitaenda huko weekend, so nitakutumia picha, baada ya kutoka huko.
   
 4. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ok thanks,Ukipiga tu nijulishe!
   
 5. L

  Lady JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu weekend hii nilibanwa kiasi, nimeshindwa kwenda, but if you are serious we can arrange na ukaenda kukiona, even weekdays. thanks.
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sipo bongo ndio maana nikasema vile,ila sio mbaya anytime ukipata muda au ukienda basi sio mbaya!
   
 7. L

  Lady JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Poa!
   
Loading...