kiwanja hapa ni mwendo wa mapambio.safi.. znashuka na gambe fresh tu

Humo humo mdogoangu. Tuanzie huko,tukaishie disco debe la kukata na shoka
Nimemis kuruka debe had nasema kweli nimeshakuwa mtu mzima....roho i radhi ila nafsi haitak....hahaa ila siku ntajitoa ufahamu...maana ndo hobby yangu...
 
Kwahiyo unaomboleza kifo cha john huku ukimnywa baba yake pombe?
 
Nimemis kuruka debe had nasema kweli nimeshakuwa mtu mzima....roho i radhi ila nafsi haitak....hahaa ila siku ntajitoa ufahamu...maana ndo hobby yangu...
Mimi sijali umri,kipendacho roho,ipe nafsi kile ikipendacho,ndivyo wenzetu weupe wametuzidi hapo. Unajifunga eti kwa ajili ya wengine. Nasema No
 
Back
Top Bottom