kiwanja hapa ni mwendo wa mapambio.safi.. znashuka na gambe fresh tu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Aisee..pasaka swaafi huku tukimuenzi mzee wetu..

Kiwanja kikali na nyimbo za mapambio mwanzo mwisho..dj anakwaambia tutaelewana tu

Kama kawaida ..red label inashuka vzuur tu kumbe na nyimbo hiz

That feeling...ya church flan hiv amazing huku nikishushia na kilaji ..kanyama kidogo bas swaafi.

Shemej yenu akichezesha mabega tu....

Times like this ..is when u apreciate GOD....Health and life.

Happy easter evelibade yall.

Uzi tayar
 
Nilimpa kura yangu huyu 2015! Siyo kwa sababu alikuwa ni mgombea bora sana kuliko wengine, la hasha! Ni kwa sababu tu ya kutaka mabadiliko.

Ccm imenichosha sana! Tangu unazaliwa, ccm! Unakua, ccm! Unaoa, ccm! Unazeeka, ccm! We need changes.
 
Ila watu mna roho jaman..
Mie roho hiyo siitak...
 
Weka picha ya shem tafadhali
Bega linakutosha
Screenshot_20210404-195807_1617555845552_1617555894943.jpg
 
Back
Top Bottom