Kiwanja Ekari 4 Mbezi Bahari Beach Kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Ekari 4 Mbezi Bahari Beach Kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Boreless, Dec 1, 2009.

 1. B

  Boreless Member

  #1
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  • Kiwanja ni kikubwa sana na kinafaa kwa hotel na biashara zingine zinazohusiana na starehe au utalii
  • Mnunuzi atanufaika na spill-over benefits kutoka kwa mahotel ya mwambao yanayozunguza kiwanja hiki e.g Bahari Beach Hotel
  KWA MWENYE HITAJI AWASILIANE MOJA KWA MOJA NA MWENYE MALI:

  ALI MALUWA 0717-485-432
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bei gani mkuu?
   
 3. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wale wale wasiotaka kuweka bei, ndo maana biashara zetu hazina mvuto ujanja ujanja mwingi we are not reality, mtu kuweka bei tu anaona taabu, au umekabidhiwa uuze unataka kula cha juu? weka bei acha hizo.
   
 4. D

  Dear Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kweli weka bei jamani
   
 5. B

  Boreless Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Asanteni sana kwa comment zenu. Lakini ifahamike kuwa Boreless si mwenye mali. Na akijidai kuwa basi yapaswa aitwe DALALI. Naomba zingatia hii sentensi:​
  KWA MWENYE HITAJI AWASILIANE MOJA KWA MOJA NA MWENYE MALI:

  ALI MALUWA 0717-485-432​
   
 6. K

  Kigwasi New Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hitaji linakwenda sambamba na bei. kwa kifupi tangazo tata maana halijakamilika.
   
 7. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye hitaji ni wewe unaye uza. Mnunuzi anaweza vutiwa na bei.wauzaji ni wengi. Au ujui mteja ni Mfalme? Be a serious saler.
   
 8. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ondoa hiyo post na futa hii thread....haina maana
   
 9. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bei Muhimu kutangaza wewe au ondoa hiyo post

  Asante.
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mwenzenu anaogopa kuweka bei labda ni mabilioni ya dollar hapo, maana sisi waswahili tutaanza kumsema bei ipo juu. Bora kama unahitaji piga simu na uongee naye.
   
Loading...