Ukubwa mbona unajieleza kwenye kichwa cha somo?Ukubwa gani, bei gani?
0767665353Bei poa ndio nini??!!! Si uweke hyo bei hapa. Pia weka na mawasiliano kabisa kama hutajali. Hii mambo ya kusema bei poa sio, maana kila mtu ana bei poa yake mkuu.
Wakuu kiwanja kinauzwa kigamboni. Mbele ya dsm zoo. Bei poa kabisaa.
Asante mkuu, kama tulivyoongea kwenye simu hiyo bei yako ya TZS milioni ishirini kwa nusu ekari ni reasonable kabisa. Monday naweza kukilipia kama bado utakuwa hujauza.
Sasa dada Hus, mtu kama haweki details za kutosha is inabidi tu kum provoke ili aje haraka kusahihisha?hhhhhhhaaaa! unanifurahisha sana. bora uwe na moyo huo huo wa kuwapigia simu na kutupa taarifa. ahsante.
sijaongea chochote na wewe kwenye simu. Unataka kuniharibia biashara tu.Asante mkuu, kama tulivyoongea kwenye simu hiyo bei yako ya TZS milioni ishirini kwa nusu ekari ni reasonable kabisa. Monday naweza kukilipia kama bado utakuwa hujauza.
sijaongea chochote na wewe kwenye simu. Unataka kuniharibia biashara tu.
Bei ni 6m
Sasa dada Hus, mtu kama haweki details za kutosha is inabidi tu kum provoke ili aje haraka kusahihisha?
Wakuu kiwanja kinauzwa kigamboni. Mbele ya dsm zoo. Bei poa kabisaa.
23 km. panafikika na gari.Wengine Kigamboni hatuifahamu vizuri , je ni umbali gani toka kwenye kivuko , miundombinu vipi ?
23 km. karibu na MwasongaMbele ya Dar es Salaam Zoo ni Kilometa ngapi? au karibu na Mwasonga?