Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kinauzwa mbele ya Dsm zoo kigamboni.

Bei poa ndio nini??!!! Si uweke hyo bei hapa. Pia weka na mawasiliano kabisa kama hutajali. Hii mambo ya kusema bei poa sio, maana kila mtu ana bei poa yake mkuu.
 
Wakuu kiwanja kinauzwa kigamboni. Mbele ya dsm zoo. Bei poa kabisaa.

Asante mkuu, kama tulivyoongea kwenye simu hiyo bei yako ya TZS milioni ishirini kwa nusu ekari ni reasonable kabisa. Monday naweza kukilipia kama bado utakuwa hujauza.
 
Asante mkuu, kama tulivyoongea kwenye simu hiyo bei yako ya TZS milioni ishirini kwa nusu ekari ni reasonable kabisa. Monday naweza kukilipia kama bado utakuwa hujauza.

hhhhhhhaaaa! unanifurahisha sana. bora uwe na moyo huo huo wa kuwapigia simu na kutupa taarifa. ahsante.
 
Asante mkuu, kama tulivyoongea kwenye simu hiyo bei yako ya TZS milioni ishirini kwa nusu ekari ni reasonable kabisa. Monday naweza kukilipia kama bado utakuwa hujauza.
sijaongea chochote na wewe kwenye simu. Unataka kuniharibia biashara tu.
 
Watanzania hatujui biashara za online kabisa mtu anaweka tangazo halina kichwa wala mguu......kigamboni kubwa dar zoo mwasonga au kisalawe? Kiwanja kinafikika kwa gari? Unavyosema mbele ya dar zoo unamaanisha umezuia njia ya kwenda dar zoo? Picha hauna? Bei hauweki mpaka uchokozwe na muwekezaji(investa)?
 
Sasa dada Hus, mtu kama haweki details za kutosha is inabidi tu kum provoke ili aje haraka kusahihisha?

upo sawa kabisa. mi naona huwa wanafanya ubabaishaji tu. naona amerudi kutaja bei. technique yako imesaidia. lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom