Kiwanja chenye ukubwa wa hekari moja kinauzwa , kipo mkundi morogoro:

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,055
1,633
Habar za asubuh wana jamvi, husika na kichwa cha habar apo juu, kwa yeyote atakayehitaji kiwanja chenye ukubwa huo ani PM, kiwanja kipo mkundi manispaa ya Morogoro karibu na watumishi housing, kiwanja kinauzwa kwa ukubwa huo huo wa heka moja, ni kizur sana kwa ajili ya makaz, biashara na hata ufugaji pia kwa kuwa eneo lina ukubwa wa kutosha! nakaribisha maswali tafadhal
 
Nina Tshs. 200,000/= cleokippo
 
nilianza taratibu za kupima lakin bado sijamaliza, ila nimekwisha anza hatua za awali
 
bei kubwa kwan kuna bei apo au kuna tangazo tu bhana ninaweza? mbona sijaandika bei apo sasa utasemaje bei kubwa?
 
Habar za asubuh wana jamvi, husika na kichwa cha habar apo juu, kwa yeyote atakayehitaji kiwanja chenye ukubwa huo ani PM, kiwanja kipo mkundi manispaa ya Morogoro karibu na watumishi housing, kiwanja kinauzwa kwa ukubwa huo huo wa heka moja, ni kizur sana kwa ajili ya makaz, biashara na hata ufugaji pia kwa kuwa eneo lina ukubwa wa kutosha! nakaribisha maswali tafadhal
Bei gani mkuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom