kiwanja chenye sqmtr 1200 chenye hati kinauzwa mil8 tu. Kipo buyuni.

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
442
195
wana jf, kiwanja chenye ukubwa wa sqmtr1200 na ushee, kina hati na kimepimwa katika mradi wa viwanja buyuni, karibu na chanika kinauzwa kwa sh milioni nane tu. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714881500. Unaongea na wenye kiwanja na si dalali. Nb. Usinipm, sina access na internet ya uhakika kwa sasa.
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,161
2,000
Ni bei nzuri, ningalikuwa na mawe ningalicheki na wewe:crazy::crazy:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom