Kiwanja chenye msingi wa mawe, ramani ya kisasa, kinauzwa Korogwe

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Kipo kwam'mbo hatua kadhaa kutoka Magunga hospitali kiwanja kina eneo la kutosha parking na garden ya kupumzika bei milioni 4 haipungui.

Call 0688 990 975
 
Kwam'mbo ndio wapi mkuu?

ukiwa magunga hospitali kama unaenda kwasemangube mkono wa kushoto,
Bei haipungui hata kumi! maana nauza kwasababu ya dharula but bei ya kawaida ingekuwa hata mil 7
 
Hiyo Itakuwa Tanga
Wilaya Ya Korogwe Ukiwa Unakwenda Hospital Ya Wilaya Baada Ya Kutoka Stendi Ya Wilaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom