Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,440
- 1,962
An
Any feedback. Aidha soma vizuri nilivyoandika kuwa unaweza uza bei chini zaidi kuliko offer ulizopata. Asilimia 90 ya wanaouza wanahitaji hizo pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kingine you cannot just sell your assest for the sake of selling it. Na nilikuwa nakupa tu mawazo ambayo yangeweza kukusaidia kufanya maamuzi at the end you are the one to decide! Have a cery happy new year!Tambua na elewa mtu anapouza Mali yake hauzi ili mradi tu itoke (ingawa pia hutokea mara chache)
Kuna wakati bei lengwa isipofikiwa mwingine hughairi kuuza kwa kuwa haoni manufaa ya kuuza hiyo asset yake. (Wengine huamua ni bora kwenda kukopa kupitia hiyo asset)
Tatizo la jf siku hizi ni kudhani kila anayeuza Mali Yake basi anashida kupindukia.
Unaweza ona 10m ni nyingi kwako ila kwa mwenye Mali ni pesa ya kawaida na wala haifikirii.
Kiwanja kitauzwa tu wala usijali.