Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

kwadilo

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
756
893
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki ya eneo.
Bei : 35m
For more info
For only serious client

ATTACH=full]931232[/ATTACH]
IMG-20181112-WA0055.jpeg
View attachment 931236View attachment 931237
 
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki ya eneo.
Bei : 35m
For more info
contact: 0756 832833
For only serious client

ATTACH=full]931232[/ATTACH]View attachment 931238View attachment 931236View attachment 931237
Mkuu mimi nna milioni 25 cash tufanye business.
Terms and condition.....ntaandikishiana na muuzaji pia na wewe Tuta andikishana separately. Ikiwa kuna utapeli nakushtaki nikusweke ndani.
 
Kwenye kununua assets yeyote ile ni lazima wewe uwe wa kwanza kujiridhisha kupitia sehemu husika.
Kuna serikali ya mtaa, manispaa na wizara ardhi ni lazima upitie kujua uhalali wa eneo husika na uzuri eneo litakua na enough details kwa kuwa liko surveyed.
Kwanin utapeliwa na eneo husika lina umiliki halali?
Maeneo yanayozunguka yote yamejengwa na wakazi wapo napo ni sehemu sahihi kujiridhisha kabla hata ya kwenda serikali ya mtaa na hatimaye manispaa na wizara ya ardhi.
Kuwa na amani kwanza, nahisi nafsi yako imekosa imani.
Stay blessed.
Inaonekana wewe ni mtu unaemcha Mungu. Basi nitakutafuta uniuzie hicho kiwanja. Nikinunua kitu kwa mtu anayemcha Mungu huwa ninakuwa na amani.
 
Salaam,
Unapewa= ni kama bure

Ndugu ardhi huwa haishuki thamani na zaidi inazidi kuwa scarce.
Hata kama kilinunuliwa kwa 8-10m miaka kadhaa iliyopita kumbuka bado ilikua ni squatters areas.
Plot mpaka kuwa na umiliki halali (full titled) kuna gharama zinahitajika pia kumbuka kuna kodi ya ardhi kila mwaka inalipiwa.
Ulivyotamka unapewa 20m ni kama bure vile.
Kimfaacho mtu chake.
Stay blessed.
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
 
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
Mkuu viwanja bunju B Huwezi pata chini ya ml 30 bro angu kanunua karibu na T B A tena kalia sana ndo kapata kwa 30 na hapo ni mwaka juzi
 
Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo GOBA center njia inayoenda makongo juu. (Karibu na kantina garden)
Kutoka goba center mpaka kwenye KIWANJA ni umbali wa meter 400-500
Kiwanja ni cha tatu kutoka barabara ya lami.
MAELEZO YA KIWANJA
kiwanja kina ukubwa wa meter 35 kwa 35
(Sqm 1225)
Kiwanja kina mwinuko kidogo (kulingana na geografia ya GOBA ilivyo)
Kiwanja kipo karibu na barabara ya lami.
KIWANJA hakijapimwa ila zoezi la urasimishaji makazi umeanza/unaendelea.

OFFER/ASKING PRICE: 28M (neg)
Contact: 0756 832833
IMG-20181123-WA0030.jpeg
IMG-20181122-WA0053.jpeg
IMG-20181123-WA0028.jpeg
IMG-20181122-WA0051.jpeg
 
Una mawazo finyu sana, broker akipewa kazi ya kuuza NYUMBA au kiwanja kuna kuwa na terms and agreement tayari na muuzaji.
Kama wamekubaliana ni 5% ya mauzo , muuzaji hata akiuza laki 5 atakupa stahiki yako ya makubaliano.
Kwa mtazamo wako unahisi pengine dalali kaongeza bei kwenye KIWANJA?
Je ukiongeza bei hiyo pesa unaipataje na wakati mmeshakubaliana kwenye percentage?
Mwenye Mali anakupa muongozo tu wa kuuza, Bei anayokupa hata ukizidisha ni kazi bure kwa maana nyinyi mmeshakubaliana terms tayari.
zaidi ukiongeza bei utakwamisha biashara na utakosa vyote.
Nilikua kimya nisikujibu lkn umeharibu fani yangu ya hesab ngoja nijib.
Kama ukiongeza bei ya juu mkija mkikaa chini na 5% ya hiyo bei yajuu nayo itakua pesa ya juu. Hivyo muuzaji atafaidika na wewe agent
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom