Kiwanja chenye hati kinauzwa Bunju B

Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Messages
5,086
Likes
1,412
Points
280
Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2010
5,086 1,412 280
Salaam,
Unapewa= ni kama bure

Ndugu ardhi huwa haishuki thamani na zaidi inazidi kuwa scarce.
Hata kama kilinunuliwa kwa 8-10m miaka kadhaa iliyopita kumbuka bado ilikua ni squatters areas.
Plot mpaka kuwa na umiliki halali (full titled) kuna gharama zinahitajika pia kumbuka kuna kodi ya ardhi kila mwaka inalipiwa.
Ulivyotamka unapewa 20m ni kama bure vile.
Kimfaacho mtu chake.
Stay blessed.
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
 
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
104
Likes
42
Points
45
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined Aug 3, 2018
104 42 45

Tambua na elewa mtu anapouza Mali yake hauzi ili mradi tu itoke (ingawa pia hutokea mara chache)
Kuna wakati bei lengwa isipofikiwa mwingine hughairi kuuza kwa kuwa haoni manufaa ya kuuza hiyo asset yake. (Wengine huamua ni bora kwenda kukopa kupitia hiyo asset)
Tatizo la jf siku hizi ni kudhani kila anayeuza Mali Yake basi anashida kupindukia.
Unaweza ona 10m ni nyingi kwako ila kwa mwenye Mali ni pesa ya kawaida na wala haifikirii.
Kiwanja kitauzwa tu wala usijali.
 
blance86

blance86

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
949
Likes
1,673
Points
180
Age
39
blance86

blance86

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
949 1,673 180
Oh pole. Kama umekwisha kiuza kiwanja mimi sio Mwana. Na kama ni vile viwanja vya miradi hamna kilichofikia milioni kumi. Ni ushauri tu I wish you all the best. Angalia usije uza kwa Tsh Milioni 10. Chukua tahadhari sasa hivi!
Mkuu viwanja bunju B Huwezi pata chini ya ml 30 bro angu kanunua karibu na T B A tena kalia sana ndo kapata kwa 30 na hapo ni mwaka juzi
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
5,791
Likes
7,959
Points
280
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
5,791 7,959 280
Matangazo ya kuuzwa viwanja Bunju yametamalaki miez hii ya karibuni.. Ngoja nifanye uchunguzi
 
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
104
Likes
42
Points
45
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined Aug 3, 2018
104 42 45
Nakushauri pokea. Juzi tumeuza 1600sqm kwa 14m Bunju B
Kila mtu anauza kwasababu zake, na pia huwezi kumpangia mtu bei kwenye Mali yake na akiona inamlipa atauza hata 10m.
 
Marashi

Marashi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
1,043
Likes
1,000
Points
280
Marashi

Marashi

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
1,043 1,000 280
Sawa, ila kwa bei hiyo hupati mtu. Viwanja vimeshuka sna bei. Tatizo ni tamaa yenu nyinyi madalali
Kila mtu anauza kwasababu zake, na pia huwezi kumpangia mtu bei kwenye Mali yake na akiona inamlipa atauza hata 10m.
 
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
104
Likes
42
Points
45
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined Aug 3, 2018
104 42 45
Sawa, ila kwa bei hiyo hupati mtu. Viwanja vimeshuka sna bei. Tatizo ni tamaa yenu nyinyi madalali
Una mawazo finyu sana, broker akipewa kazi ya kuuza NYUMBA au kiwanja kuna kuwa na terms and agreement tayari na muuzaji.
Kama wamekubaliana ni 5% ya mauzo , muuzaji hata akiuza laki 5 atakupa stahiki yako ya makubaliano.
Kwa mtazamo wako unahisi pengine dalali kaongeza bei kwenye KIWANJA?
Je ukiongeza bei hiyo pesa unaipataje na wakati mmeshakubaliana kwenye percentage?
Mwenye Mali anakupa muongozo tu wa kuuza, Bei anayokupa hata ukizidisha ni kazi bure kwa maana nyinyi mmeshakubaliana terms tayari.
zaidi ukiongeza bei utakwamisha biashara na utakosa vyote.
 
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,273
Likes
177
Points
160
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,273 177 160
Una mawazo finyu sana, broker akipewa kazi ya kuuza NYUMBA au kiwanja kuna kuwa na terms and agreement tayari na muuzaji.
Kama wamekubaliana ni 5% ya mauzo , muuzaji hata akiuza laki 5 atakupa stahiki yako ya makubaliano.
Kwa mtazamo wako unahisi pengine dalali kaongeza bei kwenye KIWANJA?
Je ukiongeza bei hiyo pesa unaipataje na wakati mmeshakubaliana kwenye percentage?
Mwenye Mali anakupa muongozo tu wa kuuza, Bei anayokupa hata ukizidisha ni kazi bure kwa maana nyinyi mmeshakubaliana terms tayari.
zaidi ukiongeza bei utakwamisha biashara na utakosa vyote.
Nilikua kimya nisikujibu lkn umeharibu fani yangu ya hesab ngoja nijib.
Kama ukiongeza bei ya juu mkija mkikaa chini na 5% ya hiyo bei yajuu nayo itakua pesa ya juu. Hivyo muuzaji atafaidika na wewe agent
 
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
104
Likes
42
Points
45
kwadilo

kwadilo

Senior Member
Joined Aug 3, 2018
104 42 45
Nilikua kimya nisikujibu lkn umeharibu fani yangu ya hesab ngoja nijib.
Kama ukiongeza bei ya juu mkija mkikaa chini na 5% ya hiyo bei yajuu nayo itakua pesa ya juu. Hivyo muuzaji atafaidika na wewe agent
You are perfect mkuu!
Price inapoongezeaka commission nayo inaongeza hilo liko wazi.
Ila inategemea mmekubaliana percentage ngapi ya commission unaweza kuwa unaishia kumfaidiasha muuzaji wakati wew unapata commission ya 5%.
Chukulia mfano wew umeongeza 10m kwenye actual price ya muuzaji then kwenye 10m unapata extra commission ya 5% ambayo ni 500k mwenye Mali anabaki na 9500k huoni kwamba ni super profit kwake?
Wengi wanaoongeza bei kubwa ni wale ambao wanakuwa makubaliano maalumu na muuzaji kwamba kinachozidi chote ni cha agents.. Let's say mwenye kiwanja anataka 30m only..hapo unaweza kuta agent anaongeza price to 40m hii ni kwasababu wanajua kinachozidi chote ni cha kwake.
Sipingi kuhusu suala la kuongeza bei kwenye Mali ya mmiliki kwa maana agent tumetofautina kwenye intellectual, business awareness na other extra income.
 
Mikwara Ya Andunje

Mikwara Ya Andunje

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Messages
364
Likes
680
Points
180
Mikwara Ya Andunje

Mikwara Ya Andunje

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2018
364 680 180
Unauza bei rahisi sana mkuu
Milioni 100 itapendeza zaidi
 
Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,426