Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,029
- 173,693
Tofauti ni kuwa utazungukwa na majirani gani☺️milioni 400 napata kiwanja magomeni cha milioni 100 milioni 300 naangusha mjengo wa maana kama ikulu ya raisi... unaleta masikhara na pesa wewe..