Kiwanja cha ndege Mwanza : Njia ya kufika kwenye msikiti ndani ya uwanja hiko upande upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha ndege Mwanza : Njia ya kufika kwenye msikiti ndani ya uwanja hiko upande upi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Mar 24, 2011.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wadau wa Mwanza Airport,
  Mtu akitaka kusali msikiti uliopo ndani ya uwanja wa ndege Mwanza anapitia wapi? Manake kote kuna uzio? Naomba kufahamishwa!
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ....ulipowauliza wahusika wa uwanja wa ndege walikujibu nini?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  kama huna msaada kaa kimya
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi kulikuwa na haja ya kuanzisha Thread?
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi viwanja vya ndege vina misikiti na makanisa? ya nn? i cant get u na sioni umuhimu wa hii thread, call customer care uwanja huo.
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  waiting room..
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mmiliki wa uwanja wa ndege hana dini.........ndio maana hakuna kanisa wala msikiti hapo uwanjani....suluhisho chukua taxi mpaka nje ya uwanja utapata misikiti huko
   
 8. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Ndibalema, soma kati ya mistari utajua ni kwanini nimeuliza hili swali!
   
 9. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Msikiti huko ndani ya uwanja. Ukishuka pale kwenye elikopta za UN ndo unauona vizuri sana.
   
Loading...