Kiwanja cha meter 11x15 naweza jenga vyumba 3 na sehemu ya Parking?

Hata Kiwanja Cha 20x20 sio Kiwanja muafaka kwa mtu anayependa vitu vizuri
Lakini uzuri ni mtazamo tu mkuu,
Mfano hii ni 11.5 x 14.5, kwenye plot ya 20 x 20 nyuma unaacha 2/3 mbele unaacha 6/5, kwenye sides unaacha 2.25 unafurahia maisha

3-bedrooms-3D.jpeg

Floor-Plan-Copy.jpeg

Floor-Plan.jpeg

3-bedrooms-03-1-678x381.jpg

3-bedrooms-02-1.jpg
 
Sikumaanisha mjengo. Ukiwa na eneo dogo, huwezi kuwa naeneo kwa ajili ya bustani ya mboga mboga, parking ya kutosha, etc
Mambo ya bustani ni mtazamo tu, Kuna raia hawana muda wa kupoteza wanatengeneza pesa tu mahitaji yatanunuliwa. 20x20 unapaki gari mbili vyema kabisa na kamjengo kakali tu mkubwa
 
Ukiendekeza mambo ya kutaka heshima kwaajili ya nyumba unaweza kuishia kujilaumu maisha yako yote. Jenga ya uwezo wako vuta ndinga kali, nyumba haitembei bana
Hahahahah heshima ya kazi gani bana mke na watoto wawe na kwao tu! Hilo la msingi sana nyumba basic kwanza kisha unaiendeleza kadri siku zinavyoenda mpaka inafikia kiwango cha kuridhisha
 
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Unajenga vizuri Sana na parking unapata,wanaokubeza wako nyumba za kupanga Ila wengne tumejenga humo mzee
 
Ishu sio kupenda vizuri ishu ni mjengo usimame kwanza watu waache kupanga hio nyumba ya Leisure utaijenga ukishakuwa vyema kipesa!
Ndio maana mimi kila siku nasema nikijega chumba self-contained itakuwa mzuka sana hayo mengine tutaongezea kadri hela inavyopatikana...kodi inatesa sana, halafu ndio ukute mwenye nyumba wenyewe kauzu
 
Ndio maana mimi kila siku nasema nikijega chumba self-contained itakuwa mzuka sana hayo mengine tutaongezea kadri hela inavyopatikana...kodi inatesa sana, halafu ndio ukute mwenye nyumba wenyewe kauzu
Hahahaha wale ambao wanategemea nyumba hio kuishi ni balaa😂😂😂
 
Back
Top Bottom