Kiwanja cha kujenga ofisi kinahitajika kununuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha kujenga ofisi kinahitajika kununuliwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Oct 13, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,033
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  Ukubwa wa kiwanja - Nusu eka au ekari moja na zaidi.
  - Kiwanja kiwe na hati au katarasi zote muhimu za umiliki.

  Mahali - Maeneo ya Kijitonyama, Msasani, Mikocheni, Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge, Magomeni, Mbezi, kuelekea Bagamoyo, Survey, Ubungo, River side, Kibamba kuelekea kibaha. Au maeneo ya nje kidogo ya mji ambayo kuna uwezekano mkubwa wa mji kukua kuelekea huko.

  - Maeneo hayo yawe na huduma zote muhimu kama barabara inayofikika kirahisi wakati wote wa mwaka, maji na umeme

  - Eneo liwe zuri na linaloweza kuvutia wapangaji


  MAWASLIANO.
  0717 114409
  0755 312233
  0784225000

   
Loading...