Plot4Sale Kiwanja Bunju Mwisho- Kijiweni Bondeni

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,362
1,619
Kiwanja maeneo ya Bunju Mwisho- Kijiweni Bondeni
Kipo eneo zuri tambarare urefu hatua 65 upana hatua 40
Km 4 kamili kutoka barabara ya Bagamoyo
Barabara ya kueleweka ipo tayari
Maji tayari yapo karibu
Umeme haupo mbali
Bei ni milioni Sita 6,000,000/=
Maelezo zaidi na kupelekwa piga 0758003101 Niite Katanga
Napatikana Bunju mwisho. Njoo ukione
Ni karibu na shule ya Baobab.
 
Shule ya Baobab iko Bunju??? Si useme tu Mapinga, wilayani Bagamoyo.....
 
Kiwanja maeneo ya Bunju Mwisho- Kijiweni Bondeni
Kipo eneo zuri tambarare urefu hatua 65 upana hatua 40
Km 4 kamili kutoka barabara ya Bagamoyo
Barabara ya kueleweka ipo tayari
Maji tayari yapo karibu
Umeme haupo mbali
Bei ni milioni Sita 6,000,000/=
Maelezo zaidi na kupelekwa piga 0758003101 Niite Katanga
Napatikana Bunju mwisho. Njoo ukione
Ni karibu na shule ya Baobab.
Kimepimwa?, kina hati?, hakuna migogoro?, serikali ya mtaa inakijua mpaka mipango miji bagamoyo....? Na next time sema tuu kuwa kiwanja kipo bagamoyo mpakan na bunju au bagamoyo mwanzon karibu na bunju......nijibu tufanye mipango
 
Mkuu mi mwenyeji maeneo ya karibu na hapo... kwa bei hiyo hicho kiwanja hakiwezi kuwa kimepimwa kwahiyo mambo ya hati usiyaweke kwenye fikra zako.
 
Mmmhhh....mkuu haliwezi kuwa changa la macho?
 
Kuwa makini mkuu... kwa maeneo yale na hiyo bei... Unapaswa kuwa makini sana.

Sema sijajua hizi hatua 65 kwa 40 anamaanisha hatua za mtu mzima au za binti wa chekechea...
 
Kweli kabisaaa.....usikute unauziwa ukingo wa mto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom