Kiwanja - Arusha

Charity

Member
Sep 13, 2010
14
1
Kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka, kipo eneo la mateves karibu na Arusha Airport, kinauzwa Millioni kumi na tano, kwa mawasaliano 0757531210.
 
Mimi nataka hicho cha nusu heka cha ukanda huo au sehemu nyingine yenye maji & umeme. Kuna mtu amenitafutia kama hicho kule kisongo ila naona soil texture na tatizo la maji ni kubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom