Kiwango cha mshahara wa wakuu wa idara

Wewe serikalini hawaishi kwa mshahara kama private sector, hawa wanamalupulupu kibao, wanalipiwa mfano, hela ya nyumba, matumizi ya simu, umeme na maji, samani za ndani. Hapo bado semina, warsha na kadhalika. Halmashauri kila kikao wanaposho.
Wakuu wa idara wanasafiri sana nje ya wilaya au mkoa, malipo ya hapo usipime.
Wewe hicho kimilioni 6 chako mwenzako anakipata kwa wiki, wewe unasubiria mwezi. Serikalini watu wana hela hasa hao wakuu wa idara. Ndo maana wengi wanachezea fedha, na nimatajiri wakubwa. Wakati wewe ukiangaika kubana matumizi na vimilioni vyako 6.
Jiulize tu madreva wengi serikalini wanafedha nzuri tu. Ila mishahara unaweza ukacheka. serikalini awaangalii mishahara!
True private sector salary kubwa lkn hawana kamba serikalini salary mbuzi lakini kamba za kula ni nyingi.
 
Kilimo kinaendeleaje mkuu?View attachment 2107081
Hiyo post ni 6 years back wakati nakula hiyo net ya 3M ambayo kwa ndoto zangu bado sikuona ntatoboa. Halafu unadhani kilimo nilichokua nazungumzia ni kile cha milioni tano? Kilimo biashara mkuu ni uwekezaji mkubwa na unahitaji umwagiliaji na green house za kutosha. Au unadhani hiyo salary ni zaidi ya pesa unayoweza pata kwenye kilimo biashara ninachozungumzia? Na siunaona nilisema nimeanza mchakato wa uwekezaji. Na huo mshahara nilisema nilikua napata miaka hiyohiyo ambayo ndo niliweka hiyo post hebu fanya calculation kisha connect dots why nimesema nilikua napata 5,6 years back utagundua sipo tena kwenye salary nakimbiza ishu zangu saizi.
 
Wewe serikalini hawaishi kwa mshahara kama private sector, hawa wanamalupulupu kibao, wanalipiwa mfano, hela ya nyumba, matumizi ya simu, umeme na maji, samani za ndani. Hapo bado semina, warsha na kadhalika. Halmashauri kila kikao wanaposho.
Wakuu wa idara wanasafiri sana nje ya wilaya au mkoa, malipo ya hapo usipime.

Wewe hicho kimilioni 6 chako mwenzako anakipata kwa wiki, wewe unasubiria mwezi. Serikalini watu wana hela hasa hao wakuu wa idara. Ndo maana wengi wanachezea fedha, na nimatajiri wakubwa. Wakati wewe ukiangaika kubana matumizi na vimilioni vyako 6.
Jiulize tu madreva wengi serikalini wanafedha nzuri tu. Ila mishahara unaweza ukacheka. serikalini awaangalii mishahara!
Acha zako,perdiem yao haizidi 120k wakati mi nilikua nalamba perdiem ya 200k
 
Kaangalie wakuu wa idara wa TRA,EWURA,LATRA,BoT ndio utajua hakuna usawa
 
Mkuu wa Idara wa Halmshauri hulipwa 3.4 million maana ni scale ya LSEE Ila hawa wa chini yake mfano afisa elimu taaluma sio wakuu wa Idara na Wana scale ya mshahara wa kawaida tuu kama walimu wengine Ila Wana advantage ya seminar, workshop's, training, Extra duty , perdiem
Hii ni gross au ni net salary??
 
Basi wewe ulibahatika. , Hakuna sehemu ya kijinga kama kufanya kazi private sector, hakuna nyongeza ya salary, hakuna promotion ( hadi wajisikie) hakuna job security , halafu ukimchukua mfanya kazi wa serikali na private , mfanyakazi wa serikali anakuwa wa hovyo miaka ya mwanzo tu, then miaka inaposogea anakuwa na maisha mazuri zaidi kumzidi huYu wa private
Huu ni uongo uliovuka mipaka hahahaahha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom