Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau naomba kujulishwa ili mtumishi aweze kuajiriwa Serikalini Kiwango cha chini cha elimu ni darasa la ngapi?
ukishajua inakusaidia nini?Wadau naomba kujulishwa ili mtumishi aweze kuajiriwa Serikalini Kiwango cha chini cha elimu ni darasa la ngapi?
Mkuu wa mkoa sio mtendaji wa serikali ,katibu tawala ndio mwenye mamlaka ktk watumishi wa umma ,ivyo ni vyeo vya kisiasa kama wabungeKwa hiyo mkuu wa mkoa huyu mwenye elimu ya darasa la 7 ilikuwaje akaajiriwa?