Kiwanda kipya cha sukari MOROGORO

Serikali ya awamu ya tano na double standard kwenye ubora wake!
Kwa hili huhitaji kuwa na elimu ya chuo vikuu ili kubaini hili.
Acha issue vya vyeti, hata hili la kujenga Mita 60 kutoka vyanzo vya Maji linashasgaza kutekelezwa ikiwa mbowe kafanya lakini naomba utazame Hali hii.
Pale mwanza, kuna hotel zimejengwa ndani ya ziwa, mawe yamewekwa ndani ya maji ili kupata eneo la ujenzi. Moja ya hoteli hizi iko kama Mita kumi kutoka ikulu ya mwanza!
Kuna tajiri mwingine amejenga jengo la ghorofa zaidi ya nne katika eneo la kirumba lakini NEMC hawa na mkuu wa wilaya ya Ilemela wametoa maagizo mengi lakini jengo hilo liko ndani ya hifadhi ya ziwa Victoria!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom