Kiwanda kingine cha kusafisha mafuta cha Iran chalipuka

Iran inataka kujifanya yeye ni safu mwamba wa middle east. wajukuu wa Abraham wapo macho na wanamliza vibaya sana ila hakomi uchokozi.kama akijifanya kutengeneza kinguvu Nukes basi yaliyotokea chenobily kule urussi mwaka 1986 yatatokea Iran, mtambo utavuja na majeneza na sanda zitauzwa sana pale Nataz!
Ila Israel anahaki ya kutengeneza na sio iran
 
Kwenye Electronics warefare Israel wapo vizuri sana. na huyu New Mossad chief David Barnea ni mtata na mbaya sana kwenye misheni za kupambana na Maadui wa Israel,akuna kazi mbaya ata moja aliopewa akiwa mkuu wa vikosi vinavyodeal na maadui wa Israel akachemsha na ana mpaka nishani kwenye hizo kazi za nje! Sasa kama mkuu wa Mossad Iran inatakiwa kufikiria mara mbili mbili kabla ya kuishambulia Israel
 
sasa pata picha na huyu chizi akichukua UPM

AP268452673996-640x400.jpg
 
Mbona wiki mbili zilizopita an Israe l off shore oil rig platform caught fire,mbona hilo hamlisemi? Tuliona oil/ gas pipeline la Israel linaungua hatusikia CNN inatangaza chochote,kiwanda cha kinacho zalisha Petro Chemical Products kiliungua wakati wa vita na Hamas CNN kimya mpaka sasa - Roketi zilivulumishwa karibu na kiwanda cha Domina kwenye jangwa la Negev ambapo Utawala wa Israel
ukitumia kuzalisha nuclear fuel rods pamoja na mabom ya nuclear, roketi zilisababisha uharibifu karibu na kiwanda hicho - as I said, western media are/were dead silent.
Mkuu, una uhakika unaweza kupiga kinu cha nuclear na hali ikawa salama? Nilitaka kukuamini kuhusu hiyo gas pipe but kuhusu neclear bro umetupeleka chaka. Unaisika nyuklia mkuu, huifaham. Unadhani USA, Israel nk wanashindwa kuvipiga hivyo vinu vya nuclear vya Iran? Madhara yake hayaishii hapo, yanakwenda nje ya mipaka ya nchi na kuathiri wasiohusika
 
Nauliza kwann wengine wapgwe Pini kutengeneza afu wengine waruhusiwe ilhal anatumia kufanya ubabe
Mwarabu hasa IRAN ni tatizo pale mashariki ya Kati. Anatishia kuifuta Israel kwenye ramani sa akiwa na Nukes unadhani hatatimiza lengo lake?

download.png
 
View attachment 1811159
Hzo ni HisiA Kama mm naww tulivo na HisiA...kwani ni Nan anaewachokoza Palestine na kuwapora maeneo....... Ukitaka kujua Vita mbaya Hawa jamaa wangekuja Uganda Kama ilivopangwa...hata as tungeonekana tuna mpango wa wa kuwaondoa waisrael...hao Iran na parestina w wanapigana ardhi.... Na parestina anapigwa na akipigwa anaporwa ardhi .... Israel anaewachokoza kiaina ili awapige achkue maeneo .. Sasa sahz kashindwa mipango yake....af Kuna siasa kubwa juu ya hii Vita kumhusu netanyahu ko ulikuw lazma awapge ili ajiweke sawa kisiasa ,hao jamaa wanaonewa Sana ...Ila Israel kachkua media Ila Kaka hasara kubwa Sana dhidi ya Hamas na hawez kutangaza
 
NETANYAHU ANAONDOKA SOON

ila kuhusu Kuhamia Uganda Hilo hata sijui walifikia wazo hilo wakiwa na akili timamu au. unawatoaje watu Kwenye nchi yao ya asili uwalete Uganda??/

Palestina nawapata Nchi leo wala kesho
 
Ilikuwa waje Uganda....Hawa miamba ni huwaga ni wakimbizi miaka nenda Rudi so baada ya WWII ndo Waka conclude aende pale. ..Kama asili ya pale waarabu pia Waparestina nap wanatokea hapo ni Kama vile tz na Rwanda tunavotofautiana mionekano tu,.......hebu tuje kwenye logic USA na uk wanamanufaa yao hapo ...so hapaish leo Wala kesho ....hyo Vita sio ya kidin Tena sema wakurungwa hamjajua
 
Wawe na manufaa kwa kitu gani hasa.

Israel wanamizizi hapo toka enzi za Ibrahim
 
Back
Top Bottom