Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 116,475
- 215,294
Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiko wapi ?Muhimbili wanatengeneza barakoa kwenye kiwanda chao.
Swali lingine!
Kwahiyo Muhimbili sio mtoa huduma tena ameingia kwenye biashara ya viwandaSwali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
View attachment 1710103
Muhimbilikiko wapi ?
Cha kushangaza hawajawahi kutengeneza pamba ya kuoshea vidonda, lakini eti barakoa wanatengeneza!Kwahiyo Muhimbili sio mtoa huduma tena ameingia kwenye biashara ya viwanda
Hiyo nayo ni Huduma!Kwahiyo Muhimbili sio mtoa huduma tena ameingia kwenye biashara ya viwanda
Unashangaa nini?Cha kushangaza hawajawahi kutengeneza pamba ya kuoshea vidonda , lakini eti barakoa wanatengeneza !
Mbona pamba za kuoshea vidonda wameshindwa kutengeneza wamebaki kununua india na Kenya?Muhimbili
Machine za hiki kiwanda zimetoka China. Malighafi zote za kutengeneza hizo barakoa zinatoka China waliopo mitamboni kwenye uzalishaji ni Wachina, halafu kuna lofa mmoja anasema usitumie barakoa za nje.Cha kushangaza hawajawahi kutengeneza pamba ya kuoshea vidonda , lakini eti barakoa wanatengeneza!
Kanuni ya demand and supply inahusika!Mbona pamba za kuoshea vidonda wameshindwa kutengeneza wamebaki kununua india na kenya ?
Tangu lini muhimbili ikawa na kiwanda.Muhimbili wanatengeneza barakoa kwenye kiwanda chao.
Swali lingine!
Siku nyingi tu!Tangu lini muhimbili ikawa na kiwanda.