nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
Kiwanda cha kuchakata mafi..Kiwanda kikubwa cha kusafisha dhahabu cha Mwanza Precious Refinery (MPMR) kimeanza rasmi uzalishaji.
Kiwanda hicho kinao uwezo wa kuzalisha kilo 480 za dhahabu kwa siku kimejengwa kwa fedha za ndani
Aidha kinao uwezo wa kusafisha dhahabu safi kwa 99.9% (purity) ya ubora ambao ni kiwango cha juu cha Kimataifa
Dkt Venance Mwase - Mkurugenzi Mtendaji STAMICO
Matumizi sahihi ya Rasilimali Huleta Matokeo Chanya Kwa Watu Wote