Kiwanda kidogo

savo

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
277
204
Habarini wana JF..?

Naomba msaada kufahamu mashine za kufumia sweta.

• Bei yake complete

• Aina ya mashine hasa iliyo bora

• Zinapatikana wap?

# Niko seriously kwa hili ndugu zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom