Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

Our national budget is under loans, aids and grants, totally meaning we under low funds. Any political leader with the great vision like yours Hon.Magufuli my president, know budgeting and practicing it. NEC have no reasonable reasons for daily re-elections, that is misusing of Tanzanians funds. Technically is poor expernitures. Political shiftings costs us and our regime.

Lets unite and be one as country, Dear president call all leaders of oppositional block. Discuss mistakes of the past, from now lets starting but our country. Oppositional blocks do you real seek for power or national interests?
The same question to rulling party and Magufuli.

If you all admit your after the nation, lets only do politics after every five years during general elections. Oppositional blocks you go to admit who is Magufuli right now legally under the law or your fellow political opposer?

You all not enemies, you differ in terms of perceptions, ideas and views. After the general election the winner should be respected. All your perceptions, ideas and views unite the for the sake of our country.

The common people fellow Tanzanians in Mtibwa Sugar Estate limited needs a quick govermental call. Show them a quick response.

Magufuli you have a great vision, but you have no unite as a country, good goverment agencies, good national laws. Deall with this.

Prove the situation at Mtibwa Sugar Estate Limited, Do the responsible agencies full there duties? Do the laws are being respected? Do the responsible MP do his work? The ward government is responsible?

Read this book by Dambisa Moyo - Dead aid and the other by Lady Moyo -Edge of democracy.

Lets be all listened by prioriting our Tanzanianity and not other wise.
unadhani kwa kuandika kwa kingereza ndio watafata ushauri wako?.
 
Ushamba mzigo. Kwani ungeandika kiswahili ungefungwa. Hujaeleweka.
Upupu mtupu.
 
Bro how are you! Am not technically or literally criticizing your language competence, however i have some few observations on what you could have addressed using our beloved Swahili language. Guys in this platform will never praise you whether your language is correct or wrong because this is pure foreign product we are consuming it unconditionally though we are very noisy when it turns to things like Mitumba i.e used cloths and so on you can list some....Your point is clear but to be a good adviser its very important to know the roles played by each party in the conflict and assess the results into three terms, short, medium and long terms and try to anticipate possibility of political mutations the groups can opt to operate. Let the groups express their grievances and resentments then find points of intersection between them and develop approach to discuss them technically....if you need more bullets contact me
Sijui kama ameelewa
 
Tupo busy tunamwombea. Ila Kikwete anamwona maana ndo aliyeenda kupiga magoti kuomba pesa za hii miradi. cha pombe ana ana ugonjwa wa kutoruhusiwa kupanda ndege ingawa alishasema last month kuwa amekwenda dunia nzima. Yawezekana kachoka. Inabidi na sisi tupate nafasi ya kukwaa pipa hata kufika Dodoma tuone linavyochosha.
Miradi gani unayoongea ndugu? Wewe unadhani miradi aliyokuwa anafungua Kikwete aliianzisha yeye? Kila mtu anafahamu wazi kuwa, kila utawala mpya unapoingia madarakani, lazima kuna Miradi utalazimika kuimalizia na ndipo uendelee na ya kwako.
Hata hivyo, huyo Rais anaweza kuipotezea miradi ikafa kabisa kwa utashi wake. Alichowafanyia Kikwete Kanda ya Ziwa, Mungu anajua. Hakuna Miradi ya maana aliyoanzisha. Hata Mradi wa kupeleka maji Shinyanga ulikuwa wa Mkapa lakini ni yeye aliyeua Reli ya Kati na kusitisha safari za Mwanza - Port Bell Uganda tangu 2008 hadi ilipofunguliwa tena 2018.
Meli zote za umma zimechechemea lakini JK hakufanya jitihada yoyote ya maana. Mwenzake tayari keshatengeneza mpya mbili na ya tatu inakamilika Mwezi ujao. Ujenzi wa meli mpya kubwa Ziwa Victoria tayari nao umeshaanza.
So, unawezaje kuongelea juu ya Kikwete kuzindua Mradi mkubwa wa Maji ya Ziwa Victoria - Shinyanga wakati Jiwe la Msingi liliwekwa na Mkapa?
 
Do you seek me and you for competetition? If not you had to congratulate at my percentage i made it. Then next you could question me. Am a human, i need congratulations i need critisations, i need comfort when am low. I need strength when am weak.The content is it wrong or not? Is right tell me rightness then bring your critisations, advice. Am here to listen you.
When you write a sentence in such a way that one may fail to understand it waters down the content of the same, thats why I advised you to write in a language that your more conversant with so that you can deliver your message clearly for public domain
 
Fanya kazi acha kulia lia, hutaki acha kwani umelazimishwa.......Watu tupo bize kuua kununua wapinzani we unakuja kulia lia hapa.....Acha kazi ....bwege ww
 
*:Wizara ya ajira.Kuna unyonyaji unaondelea hapa kiwandani, watanzania wenzetu wananyonywa. Wizara ya ajira mje, kima cha chini cha mshahara kwa mtu asie na elimu ni bei gani?
mkataba wa TPAWU na mtibwa unatekelezwa asilimia ngapi? Kuna haja ya kuajiri mtaalamu ulie nae nchini na mfundisha? Tungekuwa tuna mifumo mizuri uwanja wa Dodoma Tenda wapewe watanzania. Tuzingatieni kwanza sisi, hana uwezo wezesha kama serikali. Tupunguze wimbi la uhaba wa ajira.
Wastaafu wa mtibwa mwaka huu wametumikia mtibwa muda gani? Wamelipwaje? Taasisi za mafao mje mhoji nyie. Unaruhusu mhindi ajiliwe kwa kazi ambayo mpiga kura wako naweza ifanya, kweli? Kazi ya Mama Pasita pale guest house kuna mpiga kura anaweza ifanya na elimu.

1:OSHA sheria zenu zinatekelezwa? Nassoro Seif anashindwa kununua PPE za wafanyakazi wake? Hebu OSHA tekelezini majukumu yenu kwa sheria. Fungieni kiwanda muone kama atashindwa nunua.OSHA rushwa inafumbia macho sheria na utanzania. Sheria OSHA mnazo tekeleni

3: MAKAZi.. Anashindwa rekebisha nyumba za wafanyakazi wake? Haya maeneo ya nyumba za kiwanda fikeni au nitafuteni mimi nitawapeleka (Nyumba za kambi giza, nyumba za Manungu, Nyumba za upande wa guest house. Makazi ya Geza ulole yanasikitisha,vyoo vinatisha nenda nyumba za kambi giza mshuhudia ukweli.

Magufuli una vision nzuri sana, lakini taasisi imara waliochini hawajibiki itakavyo. Huwezi ona nchi nzima au jua uwakuwajibika wa viongozi wote. Vyombo vya habari vipe mamlaka na kinga na uhuru mpana watakuonyeshe madudu kama haya Mtibwa sugar estate. Wafanyakazi wa mtibwa ni wanyonge. Mbunge wa jimbo hili wajibika.

4: Wizara ya mazingira fikeni.

Huu ndio uwe mfano kwa taifa. Baada ya hapo tuanze kujiuliza kila mmoja sio chama tawala si wapinzani. Tupo kwa ajiri ya nchi au Madaraka. Kama nchi viongozi na taasisi husika swala mtibwa lingekuwa limeshughulikiwa mapema sana.

TBC na vyombo vingine mfike mnitafute mimi. Kuna watu wanaijua sheria na ni wataalamu lakini hawazitumii.

Tunahangamia kwa kukosa maarifa, sheria zetu ni duni sawa na hizo duni hazitekezwi.

Baada ya uchaguzi kuisha tuungane tuwe taifa moja. Hamna sababu ya kurudia chaguzi, hiyo gharama imsaidie mtanzania.
Serikali ngazi ya mkoa,wilaya hadi taifa mfike mtibwa sugar estate kuna watanzania wenzetu wananyongwa kuanzia kimaslahi. Sipotoshi umma na komboa umma.
TUCTA au taasisi yoyote ukiambiwa huwajibiki, fuatili kwanza au mtafute msemaji sio kwenda kutafuta kiki magazetini.

OSHA kuna wahindi na wachina wanawa watumikisha watanzania wenzetu bila PPE. Sheria ipo wazi, rushwa inafanya msiitekeleze sheria.

mtanzania hajui sheria zake, umaskini wetu na uoga wako unafanya usifutwe sheria. Mfano:Wafanyazi wa mtibwa wanashindwa kugoma.umaskini wetu kuhofia kufukuzwa kazi, sheria na mkataba wa TPAWU mwajiri akupe PPE. Hajakupa usifanye kazi, akikufukuza nenda mahakamani

Watetezi wetu rushwa, taasisi zetu rushwa. Sheria mfanyakazi awe na PPE hana asifanye. Wafrika tusiwe watumwe kwenye zetu, wahindi wachina wengine elimu kama njaa kali kama sisi.Hamna haja mhindi apewe kazi ambayo na kuna mtanzania hana au wa elimu hiyo nchini.
Acha UONGO magufuli ako na vision gani hio inaitaja kaa NZURI, ama wewe husomi magazeti au huishi bongo????? itisha msaada lakini wacha kusifu mtu ambae hata HASITAHILI KUWA KIONGOZI.
 
Fanya kazi acha kulia lia, hutaki acha kwani umelazimishwa.......Watu tupo bize kuua kununua wapinzani we unakuja kulia lia hapa.....Acha kazi ....bwege ww
HONGERA SANA MKUU, mpe taarifa yaonekana huyu anaishi bongo ingine sio hii yetu ambayo ililetewa uhuru na mwalimu nyerere. mwambia kazi yetu ni kuua, kutupa hio mili huko mto rufiji, kutupa wengine pahali "pasipojulikana" na kununua diwani na wabunge wa upizani,aache kazi kaa haitaki bure yeye
 
Huu Uzi haueleweki umeanza na mtubwa sugar ila yanayojadiliwa hayafanani
 
*:Wizara ya ajira.Kuna unyonyaji unaondelea hapa kiwandani, watanzania wenzetu wananyonywa. Wizara ya ajira mje, kima cha chini cha mshahara kwa mtu asie na elimu ni bei gani?
mkataba wa TPAWU na mtibwa unatekelezwa asilimia ngapi? Kuna haja ya kuajiri mtaalamu ulie nae nchini na mfundisha? Tungekuwa tuna mifumo mizuri uwanja wa Dodoma Tenda wapewe watanzania. Tuzingatieni kwanza sisi, hana uwezo wezesha kama serikali. Tupunguze wimbi la uhaba wa ajira.
Wastaafu wa mtibwa mwaka huu wametumikia mtibwa muda gani? Wamelipwaje? Taasisi za mafao mje mhoji nyie. Unaruhusu mhindi ajiliwe kwa kazi ambayo mpiga kura wako naweza ifanya, kweli? Kazi ya Mama Pasita pale guest house kuna mpiga kura anaweza ifanya na elimu.

1:OSHA sheria zenu zinatekelezwa? Nassoro Seif anashindwa kununua PPE za wafanyakazi wake? Hebu OSHA tekelezini majukumu yenu kwa sheria. Fungieni kiwanda muone kama atashindwa nunua.OSHA rushwa inafumbia macho sheria na utanzania. Sheria OSHA mnazo tekeleni

3: MAKAZi.. Anashindwa rekebisha nyumba za wafanyakazi wake? Haya maeneo ya nyumba za kiwanda fikeni au nitafuteni mimi nitawapeleka (Nyumba za kambi giza, nyumba za Manungu, Nyumba za upande wa guest house. Makazi ya Geza ulole yanasikitisha,vyoo vinatisha nenda nyumba za kambi giza mshuhudia ukweli.

Magufuli una vision nzuri sana, lakini taasisi imara waliochini hawajibiki itakavyo. Huwezi ona nchi nzima au jua uwakuwajibika wa viongozi wote. Vyombo vya habari vipe mamlaka na kinga na uhuru mpana watakuonyeshe madudu kama haya Mtibwa sugar estate. Wafanyakazi wa mtibwa ni wanyonge. Mbunge wa jimbo hili wajibika.

4: Wizara ya mazingira fikeni.

Huu ndio uwe mfano kwa taifa. Baada ya hapo tuanze kujiuliza kila mmoja sio chama tawala si wapinzani. Tupo kwa ajiri ya nchi au Madaraka. Kama nchi viongozi na taasisi husika swala mtibwa lingekuwa limeshughulikiwa mapema sana.

TBC na vyombo vingine mfike mnitafute mimi. Kuna watu wanaijua sheria na ni wataalamu lakini hawazitumii.

Tunahangamia kwa kukosa maarifa, sheria zetu ni duni sawa na hizo duni hazitekezwi.

Baada ya uchaguzi kuisha tuungane tuwe taifa moja. Hamna sababu ya kurudia chaguzi, hiyo gharama imsaidie mtanzania.
Serikali ngazi ya mkoa,wilaya hadi taifa mfike mtibwa sugar estate kuna watanzania wenzetu wananyongwa kuanzia kimaslahi. Sipotoshi umma na komboa umma.
TUCTA au taasisi yoyote ukiambiwa huwajibiki, fuatili kwanza au mtafute msemaji sio kwenda kutafuta kiki magazetini.

OSHA kuna wahindi na wachina wanawa watumikisha watanzania wenzetu bila PPE. Sheria ipo wazi, rushwa inafanya msiitekeleze sheria.

mtanzania hajui sheria zake, umaskini wetu na uoga wako unafanya usifutwe sheria. Mfano:Wafanyazi wa mtibwa wanashindwa kugoma.umaskini wetu kuhofia kufukuzwa kazi, sheria na mkataba wa TPAWU mwajiri akupe PPE. Hajakupa usifanye kazi, akikufukuza nenda mahakamani

Watetezi wetu rushwa, taasisi zetu rushwa. Sheria mfanyakazi awe na PPE hana asifanye. Wafrika tusiwe watumwe kwenye zetu, wahindi wachina wengine elimu kama njaa kali kama sisi.Hamna haja mhindi apewe kazi ambayo na kuna mtanzania hana au wa elimu hiyo nchini.
ulipoharibu ni hapo uliposema tusirudie uchaguzi .
 
Miradi gani unayoongea ndugu? Wewe unadhani miradi aliyokuwa anafungua Kikwete aliianzisha yeye? Kila mtu anafahamu wazi kuwa, kila utawala mpya unapoingia madarakani, lazima kuna Miradi utalazimika kuimalizia na ndipo uendelee na ya kwako.
Hata hivyo, huyo Rais anaweza kuipotezea miradi ikafa kabisa kwa utashi wake. Alichowafanyia Kikwete Kanda ya Ziwa, Mungu anajua. Hakuna Miradi ya maana aliyoanzisha. Hata Mradi wa kupeleka maji Shinyanga ulikuwa wa Mkapa lakini ni yeye aliyeua Reli ya Kati na kusitisha safari za Mwanza - Port Bell Uganda tangu 2008 hadi ilipofunguliwa tena 2018.
Meli zote za umma zimechechemea lakini JK hakufanya jitihada yoyote ya maana. Mwenzake tayari keshatengeneza mpya mbili na ya tatu inakamilika Mwezi ujao. Ujenzi wa meli mpya kubwa Ziwa Victoria tayari nao umeshaanza.
So, unawezaje kuongelea juu ya Kikwete kuzindua Mradi mkubwa wa Maji ya Ziwa Victoria - Shinyanga wakati Jiwe la Msingi liliwekwa na Mkapa?
Naona ulitaka kunipa taarifa ya miradi ya kanda ya Ziwa. Anyway nashukuru kuhabarishwa lakini kwenye comment yangu sikuongelea mambo ya kanda ya ziwa wala miradi mipya.
 
Ni kweli pale kuna ubabe wa hali ya juu, kuanzia makazi, mshahara, vitendea kazi, kauli mbaya kwa watumishi. Kuna haja ya wahusika kuvalia njuga suala hili kwa mustakabali wa Watanzania wenzetu.Nimewahi kupiga kazi pale miezi 3 mwaka flani nikala zangu kona mapema.
Mkuu unafahamu hayo yote yanatokana na vimelea vya ukoloni. Miaka hiyo ya huko nyuma wafanyakazi kwenye mashamba kama haya walikuwa ni Manamba ambao kwa kiasi fulani walikuwa kama watumwa. Hali hii haijawahi kumalizika huko kwenye mashamba yawe ya katani, miwa, chai, nk. Nyumba na mazingira ya kuishi ya watumishi wa chini huwa yanasikitisha sana lakini nyumba na mazingira ya kuishi ya viongozi huwa ni mazuri sana; manamba vs wasimamizi wazungu.
Kwa kifupi huko mashambani ni kama kuna kaukoloni fulani.
 
Back
Top Bottom