Kiwanda cha sabuni za mche

wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
40
HABARI ZENU WANA JF.
Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka order tayari.ss hv nakwenda TBS na TFDA ilikujuwa taratibu zikoje.wadau naomba ushauri wenu na changa moto zake ili nami nijuwe mapema wakti naingia huko kama kuna matatizo tafadhali niambie mapema kabla sijafika mbali sana.Wadau kam ilivyo ada kuwa kazi ni ngumu sana kupatikan Tanzania na niwajibu wetu kujitafutia ajira ili nasi tuweze kuajiri wezetu ili tupate chakula ya kila siku.Natanguliza shukuran zangu za dhati.
MUNGU IBARIKI JF NA WANA JF WAOTE
 
Samahani kama nitakurudisha nyuma.
Hizo mashine za kutengeneza Sabuni zimegharim kias gani cha pesa.
 
Hongera sana mdau kwa hatua uliyofikia,
zaidi ya kupata malighafi ya uhakika kwa muda na gharama nafuu. Sidhani kama changamoto nyengine zitakua kubwa kuliko hilo.
Mungu akusawazishie mapito yako.
 
HABARI ZENU WANA JF.
Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka order tayari.ss hv nakwenda TBS na TFDA ilikujuwa taratibu zikoje.wadau naomba ushauri wenu na changa moto zake ili nami nijuwe mapema wakti naingia huko kama kuna matatizo tafadhali niambie mapema kabla sijafika mbali sana.Wadau kam ilivyo ada kuwa kazi ni ngumu sana kupatikan Tanzania na niwajibu wetu kujitafutia ajira ili nasi tuweze kuajiri wezetu ili tupate chakula ya kila siku.Natanguliza shukuran zangu za dhati.
MUNGU IBARIKI JF NA WANA JF WAOTE
Imepita miaka minne sasa tangu ufungue kiwanda cha sabuni...ingekuwa vyema ukatupa mrejesho wa jinsi kiwanda kinavyo perform

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom