Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

We inatakiwa ulinde wanyama wasiibiwe sio uzuie punda wasichinjwe apo unaonesha uzaifu
 
CCM ni noma sana,miaka yote hii bado tunaongelea punda kama usafiri mkuu.

No wonder fisi wanatumika kwny usafirishaji pia.
 
Nilikaribishwa chakula kwa Wasomali, katikati ya kula pilau mama alisema yaani tulisubiri hii nyama mpaka kukata tamaa maana ni duka lile tu ndo wanauza nyama ya farasi.

Baada ya hii sentensi nilijikaza nisitapike, nilimaliza salad kwenye sahani nikaongeza na matunda kwa ustaarabu nilitoa shukran kwa chakula.
 
Unakazi gani na punda? Nenda alibaba uone nyama ya farasi inavyouzwa.Tuache uoga lazima twende na wakati.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Punda ndio mbadala wa mikokoteni ambayo ni gharama, punda ndio msaada wamama na watoto wa kike kwenye familia za wafugaji.

Nenda kongwa jimboni kwa Spika uone jinsi punda wanavyosaidia wanawake na watoto wanaotafuta maji ambali mrefu.

Bila punda ni mateso kwa wakina mama hasa familia za wafugaji.
 
Nchi nyingi washaanza kubadilisha from Punda to Ngamia kama wanyama wa kazi ngumu za mizigo n.k
 
Nilikaribishwa chakula kwa Wasomali, katikati ya kula pilau mama alisema yaani tulisubiri hii nyama mpaka kukata tamaa maana ni duka lile tu ndo wanauza nyama ya farasi.

Baada ya hii sentensi nilijikaza nisitapike, nilimaliza salad kwenye sahani nikaongeza na matunda kwa ustaarabu nilitoa shukran kwa chakula.
Mbona farasi ni halal bibie ,ulikwama wapi yaani
 
Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.

Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10

Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
Nagu alifunga kila kitu, nitaendelea kumlaumu
 
Nilikaribishwa chakula kwa Wasomali, katikati ya kula pilau mama alisema yaani tulisubiri hii nyama mpaka kukata tamaa maana ni duka lile tu ndo wanauza nyama ya farasi.

Baada ya hii sentensi nilijikaza nisitapike, nilimaliza salad kwenye sahani nikaongeza na matunda kwa ustaarabu nilitoa shukran kwa chakula.
Pengine huyo mama aligundua mkono wako hauondoki kwenye nyama alitaka kukutia hand brake!
 
Back
Top Bottom