Kiwanda cha mikoba Tanzania

Malthiersz

Member
May 2, 2017
9
8
Naomba nisaidiwe, hivi kuna kiwanda cha mikoba na mabegi hapa nchini kwetu? Na kipo mkoa gani?
 
Kipo Moshi, pure leather. Wanaitwa Shah Leather Industries. Siwezi kukupa ramani ya kueleweka lakini ukiulizia Moshi mjini utaelekezwa.
 
Back
Top Bottom