Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu tangu tukubali uwepo wa COVID-19 Duniani. Huyu mjenzi alikuwa ameshajenga?
Tatu, soko la mamilioni haya ya barakoa lipo wapi? Kila siku barakoa milioni 86 du Gerson Msigwa pls.
Press moja unazungumzia barakoa milioni 86 unrealistic lakini pia unatuamisha dola milioni mia moja ni sawa na trilioni 2.3 hesabu mlisoma wenyewe?
Mnajua mnazungumza na Dunia? Mnatufanya huko nje tuonekane watu wasiosoma na ndio maana tumetawaliwa kila Kona mchina ameweka himaya, huu Ni utumwa