Kiwanda cha Kusindika Nyanya cha Dangote chajiendesha kwa hasara

Godwin Tairo

New Member
Jul 14, 2021
3
8
Nyanya 🍅 🇳🇬
_


Uongozi wa kiwanda Cha kusindika nyanya cha Dangote nchini Nigeria Kinachomilikiwa na kampuni ya Dangote Group kimeripoti kujiendesha kwa hasara,kutokana na kukosa nyanya za kutosha kutoka kwa wakulima ILi kufikia uwezo wa kusindika kiasi Cha Tani 1,200 kwa siku.
_
Kwa sasa kiwanda hicho cha kusindika nyanya ambacho ni kikubwa barani afrika toka kimeanza mwaka 2017 kinasindika Tani 240 ambazo ni chini ya uwezo wake wa 1,200 kwa siku, kutokana na wakulima wa nyanya nchini humo kuzalisha kiasi cha nyanya chini ya mahitaji yake.
inbound3376871055162423061.jpg
 
Back
Top Bottom