Kiwanda cha kusindika nyama chazinduliwa Tanzania

Fufueni kwanza Tanganyika Parkers
Mwalimu alishaweka kiwanda kikubwa tu hapo Kawe DSM, mkakiua sasa mnataka promo kwa vitu ambavyo kama Taifa tayari tulishaviachieve. Naona mko busy kure-invent the wheel
Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya Tanganyika Packers tutajadili
 
Capacity: Ng'ombe 1000 per day & mbuzi na kondoo 4,500 per day.. Hakika Tanzania ya viwanda inawezekana

Hatimae kiwanda cha funguliwa rasimi
Hongereni TANCHOICE nakumbuka jinsi kilivoanza kujengwa na mm nikiwa miongoni mwa mafundi pale kiwandani tangu mwanzo mwa msingi hadi hatua ya upakaji rangi na upauaji dah!
Mzee mmoja anaitwa mzee Dominic na Mr Jonas duh?
Hongereni sana

Kiwanda nakielewa vizuri sana na ni bonge la kiwanda kwa EAC na nimenufaika pa kubwa sana kutokana na ujenzi wa kiwanda hiki na sio machinjio kama mnavyobeza humu JF, tembeleeni Pwan msijifiche nyuma ya keyboard na kuanza kubeza kinyambafu namna hii mnakera sana enyi watu,
TANCHOICE ipo Soga Kibaha ukiwa unatoka Dar unashuka Kongowe Kibaha, unachukua bodaboda au kuna bajaji pia wanakupeleka Soga
Ukifika ulizia Ilipo karakana ya YAPI MERKEZ,
Ukifika hapo kwa Waturuki ali maarufu YAPI MERKEZ kiwanda utakiona tu kipo kwa pembeni yake tu
Wamiliki ni Wasomali

Viva JPM kwa kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji

Asante sana wakuu
Naomba unjjuze mkuu,hivi,mwekezaji wa hiki kiwanda anatko nchi gani?alafu,hiki kiwanda ni branch,au vp?
 
Kuna kikubwa kuliko hicho kiko mwanza usagara kilifunguliwa kwa mbwembwe uniform za ccm...sasa hivi mmiliki kaelemewa na madeni kinasuasua

Chobo Investment... ndio hivyo ushaona kuna siasa hapo ..

Mwekezaji alikuwa anataka eneo la malisho na kupitisha ng`ombe halmashauri ikawa inamzingua.. halafu ishu ya umeme na maji ilikuwa inaongeza gharama za uzalishaji sana nadhani ndio maana ilikuwa ngumu ku survive. Ila kwa sasa wanaweza ku operate maana miradi ya maji na umeme pande hizo imeshika kasi sana.
 
Haukawii kukuta ni machinjio, wanasema kiwanda, :D
Kiwanda cha sukari chafunguliwa Mbigiri, wakulima wakaacha kulima mpunga wakalima miwa, kilichowapata.. :D
Yaani imefika mahali ngumu kuamini hivi vitu :D

Everyday is Saturday...........................:cool:
Mbigiri wanalima miwa miaka yote. Nimesoma Dakawa High School miaka ya 90, miwa tulikuwa tunafuata Mbigiri na Magole.
 
Kama hiki ndio kiwanda cha nyama kikubwa EAC, basi viwanda vya nyama EAC viko kwenye nyumba za kuishi watu. Na huo ukubwa ni wa eneo au mitambo? Kama ni eneo waongezeni eka 50 kiwe kikubwa duniani Kurugeni ya Habari ipate jambo la kumsifia raisi!

Kiswahili ndio lugha ya taifa kisikupige chenga mkuu, au kuna namna ya kufikiri kumefunga ufahamu wako ndio maana umekuja na swali kama hilo?.. Yes ni kiwanda kikubwa EAC kwa kuchinja na kusindika ng`ombe 1000 kwa siku sio jambo dogo. Hapo kuna mashine na vifaa vya kutosha na pia eneo la kuweka hiyo mifugo.

Kumbuka haija andikwa kwamba ndio kiwanda kikubwa kupita vyote EAC, imeandikwa ni kiwanda kikubwa. Sasa ni kazi kwako uanze kutafiti kwa hapa EAC kuna viwanda vingapi vya nyama vyenye uwezo huo kama hicho cha soga. Ukishapata majibu ndio uanze kukibeza.
 
ng'ombe 1000 mbuzi 4500 kwa siku duuh hawa viumbe miaka 10 ijayo watakua wametoweka
Hujajiuliza wanazaliwa wangapi kwa siku? Kuna watu huko wana ng'ombe zaidi ya 1000 unafikiri kwa siku wanazaa wangapi kati ya hao 1000 tu? Na hio 1000 inaweza kuwa ni uwezo wa kiwanda sio lazima wachinje hao 1000 kila siku.
 
i was just thinking
lakini wanazaliwa wengi ndio ila mpaka wafikie ile level ya kutumika kama kitoweo inachukua mda kidogo hawa siko kama kuku broiler wiki 2 tayari yuko kwa kuliwa
 
Naomba unjjuze mkuu,hivi,mwekezaji wa hiki kiwanda anatko nchi gani?alafu,hiki kiwanda ni branch,au vp?

Ok
TANCHOICE wanakiwanda kidogo kidogo dodoma lkn si kikubwa kama hiki kilichopo Soga Kibaha,

Mmiliki ni Msomali lkn anaishi Dubai kashirikiana na Msomali mwenzie kwa share kiasi ila top mwenye hisa kubwa yupo Dubai
Mshirika wake pia anaishi Marekani ila hapa bongo ana biashara zake tu kubwa hapo Kariakoo jijini Dar
So waliweka pesa ya kutosha pale Soga kwa ajili ya kujenga hicho kiwanda na kuwa center kubwa ya kiwanda chao EAC na kiuhakika hiki kiwanda ni kikubwa mno kwan nakifahamu mwanzo mwisho ijapo sasa nimetoka pale kwa maana ya kumaliza kazi yangu ya ujenzi
Wasomali wamejiwekeza sana pale kwa maana ya kiwanda na si machinjio kama wanvosema wengine humu ndani,

Tembeleeni pwani mujionee viwanda vinavohubiriwa vimejengwa na ili muamini kwa macho.
Kifupi Pwani viwanda vimejengwa na wala sio blabla kama mzanivyo.
Serikali imejitahidi mno kama sekta ya viwanda ijapo vingi bado vinaendelea kujengwa na vingine vipo hatua za mwisho mwisho kukamilika

Hope kuanzia mwakani nadhani utiriri wa viwanda utaanza kufanya kazi na nadhan hata vijana wengi watapata kazi viwandani

Asante

NB: tembelea pwani uone kama ni ukweli ama uongo kwa maana najua wengi tunapinga pasipo kujua lolote lile
 
Mtu kwao,kama mtanzania ni furaha kupata kiwanda hiki na ni kikubwa kwa size ya matakwa yetu.Sio fake news ni kiwanda kilichopo Vigunguti karibu kabisa na machingio ya zamani
chenye mitambo ya kisasa na kitakachokuwa na uwezo wa kuchinja ngombe 1000 kwa siku.
Si hayo tu machinjio ya zamani yalikuwa hafifu,machafu yaliokuwa yakihatarisha wananchi wa maeneo hayo
Kipo vingunguti au kipo soga?
 
Ok
TANCHOICE wanakiwanda kidogo kidogo dodoma lkn si kikubwa kama hiki kilichopo Soga Kibaha,

Mmiliki ni Msomali lkn anaishi Dubai kashirikiana na Msomali mwenzie kwa share kiasi ila top mwenye hisa kubwa yupo Dubai
Mshirika wake pia anaishi Marekani ila hapa bongo ana biashara zake tu kubwa hapo Kariakoo jijini Dar
So waliweka pesa ya kutosha pale Soga kwa ajili ya kujenga hicho kiwanda na kuwa center kubwa ya kiwanda chao EAC na kiuhakika hiki kiwanda ni kikubwa mno kwan nakifahamu mwanzo mwisho ijapo sasa nimetoka pale kwa maana ya kumaliza kazi yangu ya ujenzi
Wasomali wamejiwekeza sana pale kwa maana ya kiwanda na si machinjio kama wanvosema wengine humu ndani,

Tembeleeni pwani mujionee viwanda vinavohubiriwa vimejengwa na ili muamini kwa macho.
Kifupi Pwani viwanda vimejengwa na wala sio blabla kama mzanivyo.
Serikali imejitahidi mno kama sekta ya viwanda ijapo vingi bado vinaendelea kujengwa na vingine vipo hatua za mwisho mwisho kukamilika

Hope kuanzia mwakani nadhani utiriri wa viwanda utaanza kufanya kazi na nadhan hata vijana wengi watapata kazi viwandani

Asante

NB: tembelea pwani uone kama ni ukweli ama uongo kwa maana najua wengi tunapinga pasipo kujua lolote lile
Huko pwani kuna viwanda vya vitu gani ukiacha hiki cha nyama?
 
Mkuu miwa siyo ya kutafuna, au kukamua juice mitaani, bali miwa ililimwa kama malighafi ku feed kiwanda, ukulima wake siyo wa kitoto...mashamba kwa mashamba.

Everyday is Saturday.............................. :cool:
Naamini hujui uandikalo. Lakini wapo watakaokuamini. Mimi nilikuwa Dakawa High School enzi za "An Oldman" Mzee Kijame (sasa hivi anaishi Dumila baada ya kustaafu).
 
Kuchinja ngombe 1,000 na mbuzi 4,000 kwa siku brother sio mchezo halafu uwafanyie uchakataji? Mmmmh, bado
 
Chobo Investment... ndio hivyo ushaona kuna siasa hapo ..

Mwekezaji alikuwa anataka eneo la malisho na kupitisha ng`ombe halmashauri ikawa inamzingua.. halafu ishu ya umeme na maji ilikuwa inaongeza gharama za uzalishaji sana nadhani ndio maana ilikuwa ngumu ku survive. Ila kwa sasa wanaweza ku operate maana miradi ya maji na umeme pande hizo imeshika kasi sana.
Kwahiyo alienda kujenga mahali umeme hakuna?maji si unadrill tu tena ni cheap kuliko kutumia ya serikali....kwa ulivyosema huo mkopo utamshinda
 
Naamini hujui uandikalo. Lakini wapo watakaokuamini. Mimi nilikuwa Dakawa High School enzi za "An Oldman" Mzee Kijame (sasa hivi anaishi Dumila baada ya kustaafu).
Old man, alikuwa analima Dakawa kwa ajili ya kiwanda kipi??
Coz wakulima walihamasishwa wilaya zinazopakana za Mvomero mpaka Kilosa...

Huyu old man alilima eka ngapi kama 20,000 au eka laki 1 zote miwa??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom