Kiwanda cha KILIMANJARO Machine Tools Limited (KMTC) chaanza uzalishaji

Xplorer

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
607
857
DAILY NEWS REPORTERS 07 JULY 2016


During the 2015 general election campaigns, President John Magufuli pledged to revamp the factory and many others in the region which had collapsed, mostly due to mismanagement.

Speaking at the 40th Dar es Salaam International Trade Fair, NDC Communications Manager, Mr Abel Ngapemba, said the factory has resumed production of various machineries, including carpentry and milling.

The plan is part of government efforts to cut importation of such machines in the country. He said the current NDC strategy is to instal a machinery to melt iron which will cost 450m/-. The machinery will be used to mould spare parts of different sizes, according to needs of respective equipment.

Mr Ngapemba hinted further that through partnership with a social security fund, NDC is determined to ensure that the plant becomes a major manufacturer of spare parts in the country.

“We expect to embark on full production of spare parts by next year and this will enable us to do away with importation of the parts,” he explained.

He noted further that the factory will start producing rims for tyres when the Arusha-based tyre manufacturing plant, General Tyre, resumes production. “There are issues being sorted out before General Tyre resumes operations; our plan is to enable KMTC to produce rims,” he stated.

He pointed to the fact that Tanzania was endowed with vast iron ore deposits at Liganga which could be used to produce metal products locally. Mr Ngapemba noted further that resumption of production and establishment of new factories was in line with Tanzania’s Second Five-Year Development Plan (FYDP II), which focuses on nurturing industrialisation to boost the economy.

Spare parts produced at the Kilimanjaro-based factory have attracted customers from both local and foreign markets given their high quality and affordability compared to imported parts.
 
Kwani kiwanda cha Machine Tool kinahusika na kumumina chuma ya kutengeneza spare parts au kuhunda machine za kuchonga vyuma na kuziuza viwandani na watu binafsi wanao chonga spare parts?
 
Kwani kiwanda cha Machine Tool kinahusika na kumumina chuma ya kutengeneza spare parts au kuhunda machine za kuchonga vyuma na kuziuza viwandani na watu binafsi wanao chonga spare parts?


Haijalishi kitafanya, cha muhimu Kiwanda kitaanza kufanya kazi na Watanzani kupata ajira, hilo ndiyo muhimu!

HAPA KAZI TU!
 
Kwani kiwanda cha Machine Tool kinahusika na kumumina chuma ya kutengeneza spare parts au kuhunda machine za kuchonga vyuma na kuziuza viwandani na watu binafsi wanao chonga spare parts?
Kabla hujatengeneza hizo machine lazima utengeneze parts na machine nyingi za viwandani huitaji vitu kama die na parts zingine kwa wakifanya hivyoo kama moja ya business portfolio yao ni sawa kwa sababu kiwanda kama kili hawezi kutegemea product za aina moja
 
Nataka nianze kuona bidhaa Kko zikipatikana kwa bei ya ushindani
sahau hilo mkuu! Ushahidi upo mwingi sana juu ya hilo,bidhaa zinazotengenezwa hapahapa nchini huwa zinauzwa kwa bei ghali mno!na ikitokea ikaja bidhaa nyingine kutoka nje ikauzwa kwa. Bei nafuu basi itapigwa vita na serikali kwa mbinu zote ikiwa ni pamoja Na kuzi blackmail!! Huo ushindani hauwezi kuwepo kwenye monopolization ya aina hiyo! Sukari ya thailand iliuzwa kwa sh 1400 wakati ya tpc ikiuzwa sh 1800,tulichokifanya ni kupiga marufuku sukari ya thailand kwa hoja ya kulinda viwanda!! Mimi binafsi Napenda ongezeko la viwanda nchini ila ningependa vifikie kushindana vyenyewe,viwanda vijilinde vyenyewe kwa quality ya products zao na affordability ya price zao,hakuna faida ya kushangilia Ajira ya watu 20 watakaotengeneza bidhaa zitakazokidhi 20% ya demand ya watu huku kukiwekwa sheria itakayo umiza 100% ya raia!! Tulinde viwanda ili vitulinde,sio vitufilisi,wachina wenyewe pamoja na kuimarika kiviwanda ila kuna vitu hawatengenezi ila wanaagiza kutoka nje kutokana na gharama ya utengenezaji kuwa kubwa kuliko kuagiza nje,naomba Mungu ifike siku tuwe Na viwanda vingi nchini vitakavyoweza kushindana vyenyewe!! Teknolojia ya viwanda imekuwa sana nje! Kiasi cha kufanya fair competition iwe ngumu kweli kweli.
 
Hahaha safi sana .

Tanzania ya viwanda inawezekana.

Go Magufuli Go
 
Mi nataka kiwanda kile.cha kutengeneza majembe kipo wapi (UFI tanga)
 
Mi nataka kiwanda kile.cha kutengeneza majembe kipo wapi (UFI tanga)

taratibu tutafika hadi huko,hiki kiwanda cha machine tools ni muhimu sana kwa kuwa viwanda vingine vinakitegemea katika kutengeneza vipuli,vilevile kifo cha kiwanda hiki kulichangia kwa kiasi kikubwa kufa kwa viwanda vingine.
 
Naumia sana nikikumbuka kifo cha hiki kiwanda KMTC, kilipofungwa kuna jamaa yangu alikosa kazi na wajanja wakamchukulia mke.
 
Acha kusoma magazeti ya kufungia mandazi,hicho kiwanda kilicho anza uzalishaji kipo Moshi ya Chato? Sasa hivi nipo njia panda ya machame sioni kitu
 
Haijalishi kitafanya, cha muhimu Kiwanda kitaanza kufanya kazi na Watanzani kupata ajira, hilo ndiyo muhimu!

HAPA KAZI TU!
Mbona majibu yako ni ya mwendo Kasi? Swali lililoulizwa lilikua muhimu kuliko umuhimu wa comment yako! Matokeo yake hukua na jibu stahiki hivyo hakukua na umuhimu wa kum quote mdau!
 
Back
Top Bottom