Kiwanda cha KILIMANJARO Machine Tools Limited (KMTC) chaanza uzalishaji

Acha kusoma magazeti ya kufungia mandazi,hicho kiwanda kilicho anza uzalishaji kipo Moshi ya Chato? Sasa hivi nipo njia panda ya machame sioni kitu
Na hata kama ni kweli KMTC imeanza kazi,basi hakitazidi mwaka mmoja,kitakuwa kimefariki.
 
Duuh hivi hiki kiwanda kilifufuliwa kweli ama zikikua propaganda za mwendazake na vipi kile cha General Tyre Arusha?
 
Back
Top Bottom