Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

MR BENNY

Member
Oct 31, 2015
68
174
Wakuu msaada wenu tafadhari, kuna zile Ceiling boards za Tanzania, ninaomba kwa anayefahamu kiwanda chake kipo wapi na kinaitwaje? Ninatanguliza shukran zangu za dhati kwenu nyote
 
Back
Top Bottom