Kiwanda cha brookside nchini Tanzania kipohatarini kupewa mwekezaji mwingine.

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,931
2,000
Kiwanda cha maziwa kilichokuwa kinamilikiwa na serikali mkoani Arusha na baadae kuchukuliwa na Brookside company ya Kenya kwamkataba wakukiendeleza nimoja yakiwanda ambacho Brookside walishindwa ukiendeleza kwa kuiba mitambo yauzalishaji iliokuwa na uwezo waku kausha maziwa nakuipekeka nchini Kenya. Leo muheshimiwa Magufuli katoa tamko kuwa wawekezaji wote waliochukua viwanda vya serikali wanyanganywe nakupewa wawekezaji wengine watakao weza kuviendeleza. Waziri Mwijage kasema kama kuna muwekezaji alitoa mitambo ailudishe kwani walishaandikiwa barua yakuludisha mitambo viwandani kabla yakuchukuliwa sheria ..Jumla ya viwanda vilivyo chukuliwa na wawekezaji nakushindwa kuendelezwa Tanzania nzima ni 157. Ahsante Magufuli kwa serikali ya viwanda. Tunaomba Brookside mludishie mitambo
IMG_20170622_231554.jpg
IMG_20170622_231604.jpg
 
Lewis254

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
5,787
2,000
Cite your sources. Whenever you are sharing an idea that originated from someone else (even if it is not word for word), it is good practice to cite that source. If you read a great thought in your text, share it, but be sure you let your audience know where you saw it first.

Good. I hope it helps.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
37,114

Ni hivi mtalipia gharama za wizi, French dairy Danone bought Brookside business in Tanzania.
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,496
2,000
Cite your sources. Whenever you are sharing an idea that originated from someone else (even if it is not word for word), it is good practice to cite that source. If you read a great thought in your text, share it, but be sure you let your audience know where you saw it first.

Good. I hope it helps.

btw... there are other appropriate channels you can use too

Jukwaa la Siasa

Habari na Hoja mchanganyiko

Goodluck!
povu baada ya kisu cha ngariba kuingia mahala pake.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
37,114
2,000
Magu atakuwa ameona Brookside inataka kujipatia fedha kuuza kiwanda cha Arusha baada ya kuuza machine sasa anataka kuwanyang'anya walipe mashine waliong'oa halafu wawape French Danone dairy. Smart idea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom