Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,703
- 15,156
Imeripotiwa kuwa kiwanda cha Bagamoyo sugar kinachomilikiwa na mfanyabiashara Said Bakhresa kinatarajiwa kuanza uzalishaji wa sukari rasmi mwezi wa 6 mwaka huu baada ya ujenzi wake kukamilika.
Ikumbukwe hayati Magufuli alimpatia Bakhresa eneo bure huko Bagamoyo ili alitumie kujenga kiwanda cha kuzalisha sukari nchini na kuondoa utegemezi wa kuagiza sukari nje kila mwaka.
Ikumbukwe hayati Magufuli alimpatia Bakhresa eneo bure huko Bagamoyo ili alitumie kujenga kiwanda cha kuzalisha sukari nchini na kuondoa utegemezi wa kuagiza sukari nje kila mwaka.