Kiwanda cha alizeti

maselengo

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
325
167
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom