Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

Me najiuliza sitting room usiku wa manane taa zikiwa zimezimwa huwa unafanya nini. Hilo moja.
Pili mirungi inatoa usingizi kama unapiga muda mrefu na Pia una stress inaweza kuwa chanzo cha hiyo hallucination
 
Waswahili huwa na usemi wao
unaosema CHA MTU MAVI UKIKIONA
KITEME sasa bwana nikushauri jambo moja kama umewahi kuchukua kitu au mali ya mtu iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi fanya kurejesha hiyo mali au hicho kitu kwa mwenye nacho, hilo tatizo lako litakwisha kabisa...!!!!

Naungana na ww mkuu, mleta mada hiyo khali haitaisha mpaka urejeshe haki za watu.
 
Me najiuliza sitting room usiku wa manane taa zikiwa zimezimwa huwa unafanya nini. Hilo moja.
Pili mirungi inatoa usingizi kama unapiga muda mrefu na Pia una stress inaweza kuwa chanzo cha hiyo hallucination
Of course hiyo ni hallucination angekuwa mnywa pombe ningemshauri apige nyagi kasichana na mbili za baridi kabla ya kulala 😁😁😁
 
....unakiona pembeni ya jicho lakini ukikiangalia direct kinakimbia? Kwa mini kikimbie kama shida no kukupa ujumbe Fulani?
Kapimwe pia macho kwa wataalamu mkuu, maana macho yetu haya nayo wakati mwingine....!?!?
 
Vijana wa kizazi hiki hawajui wanapojikuta wamezaliwa wameao, wamefanikiwa au bado wanahustle nyuma yao yako maagano ya wazazi na mababu waliyoingia ili kiwafikisha hapo mlipo. Sasa nyie hamtaki kuyaenzi hayo mashetani ndo maana yanakufuatilia.
USHAURI:
Ushauli wangu wa kwanza ni Kuokoka kwa kukiri kuwa Yesu ni Bwana na alikufa na kufufuka na anaishi kuwaokoa wote wanaomkimbilia.
Kama huwezi:
Nenda kwenu kapatane na hayo maagano kati ya hayo mashetani na mababu au wazazi.
Au:
Nenda kwa waganga ambao kama kawaida yao watakupa mashetani makubwa zaidi kuyanyamazisha hayo yanayokusumbua
 
hakuna cha malaika wala jini, huo ni uoga tu. hiyo itakuwa mbalamwezi au taa, na ikimulika kitu flan inaleta kivuli, ss uoga wako ww ndo unaona vtu vya ajabu.

acha kiwaza kulogwa tu, utalogwa kweli
 
Vijana wa kizazi hiki hawajui wanapojikuta wamezaliwa wameao, wamefanikiwa au bado wanahustle nyuma yao yako maagano ya wazazi na mababu waliyoingia ili kiwafikisha hapo mlipo. Sasa nyie hamtaki kuyaenzi hayo mashetani ndo maana yanakufuatilia.
USHAURI:
Ushauli wangu wa kwanza ni Kuokoka kwa kukiri kuwa Yesu ni Bwana na alikufa na kufufuka na anaishi kuwaokoa wote wanaomkimbilia.
Kama huwezi:
Nenda kwenu kapatane na hayo maagano kati ya hayo mashetani na mababu au wazazi.
Au:
Nenda kwa waganga ambao kama kawaida yao watakupa mashetani makubwa zaidi kuyanyamazisha hayo yanayokusumbua
Huyu tatizo lake ni usingizi hajalala muda mrefu kwa sababu ya andasi ya mrungi huko unako taka aende ndiyo utampoteza zaidi maana atakutana na wajanja watazidi kumtia uwoga ili wapige pesa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom