Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

Waswahili huwa na usemi wao
unaosema CHA MTU MAVI UKIKIONA
KITEME sasa bwana nikushauri jambo moja kama umewahi kuchukua kitu au mali ya mtu iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi fanya kurejesha hiyo mali au hicho kitu kwa mwenye nacho, hilo tatizo lako litakwisha kabisa...!!!!
Hapa aisee nina maden kibao, namwomba Allah anijaalie niyalipe.
Ila ndo iwe sabab ya kujiwa na kivuli hata kama si kumuibia tulikubaliana
 
Pole mkuu utakuwa uliwahi kufanya jambo maishani kama sio kuua basi kudhulumu au chochote kisicho hski yako. Ushauri nenda pale sumbawanga kuna mtu atakusaidia au nenda kaombewe.
 
Brother Mshana maji hayo husaidia nini mkubwa wangu, kuondoa mikosi au huweza kutumika kama kinga pia?, msaada plse!
Usitake kujua sana kinataka nini kwako utapata tabu sana.... USHAURI wangu ni uleule wa kawaida ogea maji chumvi ya mabonge kisha paka olive oil...
 
Habari zenu wadau wote wa JF.

Nimepata tatizo ambalo silielewi, kwa muda mrefu nimekua nikiona kivuli cha mtu cheus nikigeuka kinapotea ila hiyo hali haikunipa shida nilidharau halaf ilikuwaga ni home tu, Ila sasa hv hata nikiwa kwengine.

Sasa kuna kivuli hicho kimenijia kwa mara ya tatu sasa hicho hakipotei kinakaa na huwa kwenye kuta za sitting room taa zikiwa zimezimwa usiku wa manane.

Leo hii ni mara ya tatu, huwa nakiona nikiwa macho yanaangalia pemben nikigeuka nikiface kinapotea sasa leo nimemwita mama nikamwambia kile kivuli nachokwambia kiko ukutan vipi unakiona huku mm nikiwa naangalia pemben lakini nakiona mama akaniambia haoni kitu.

Sasa ndugu zangu wa JF mnisaidie hiki ni kitu gan maana nikiwaambiwa watu wengine wananiona kama nina wasiwasi au nimechanganyikiwa.

Kivuli chenyewe ni dude kubwa hv halaf naona mkono wenye kucha ndefu ni cheusi.

Hii hali imenishangaza sana, mama ananiambiwa tunakuitia shehe akusomee.

Ila nimebaki na maswali, hiki kivuli kinataka nn kwangu kama kuna wadau wanafaham hali hii wanielezee.

Sitanii ndugu zangu nahitaji mawazo yenu
Mkuu usije ukawa ndio umeanza kuvuta bangi.. Maana bangi unapoanza kuivuta siku za mwanzo huwa inapelekesha vibaya.. Mwenzio niliwahi kupotea nyumban wakat naenda dukani kununua mchele wakat huo mchele uko ndani.

Nilivofika dukani nikapotea nyumban nikawa sipakumbuki nilizunguka mtaani siku nzima huku nawaulizia watu na wanaponijibu nikawa nahisi wanatoa sauti kubwaa nikawa naogopa..

Bangi mbaya sana siku za mwanzo
 
Ingelikuwa ni bangi nisingeandika thread au ningeitaja
Mkuu usije ukawa ndio umeanza kuvuta bangi.. Maana bangi unapoanza kuivuta siku za mwanzo huwa inapelekesha vibaya.. Mwenzio niliwahi kupotea nyumban wakat naenda dukani kununua mchele wakat huo mchele uko ndani.

Nilivofika dukani nikapotea nyumban nikawa sipakumbuki nilizunguka mtaani siku nzima huku nawaulizia watu na wanaponijibu nikawa nahisi wanatoa sauti kubwaa nikawa naogopa..

Bangi mbaya sana siku za mwanzo
 
Nitajaribu hii usingiz wa usiku siujui mwez wa saba sasa
Kama hujapumzika,kiakili na kimwili, basi ujue mwisho wake Utakuwa MWENDAWAZIMU,..

Ukiendelea, kuishi kama unavyoishi sasa, karibu utamwambia watu kuwa una uwezo wa kuongea na Mitume kama vile MUHAMMAD au YESU
 
Hauhitaji ushauri wetu ili ukusaidie wala hauhitaji shehe ili akusaidie ila muitaji Mungu ili akusaidie.

Nakukaribisha kanisani Mkuu, Yesu ni muweza wa yote.
Kanisa lenu liko wapi mpe maelekezo ya kutosha asisahau na fungu la kumi
Na sadaka iliyonona
 
Usitake kujua sana kinataka nini kwako utapata tabu sana.... USHAURI wangu ni uleule wa kawaida ogea maji chumvi ya mabonge kisha paka olive oil...
Sasa si bora umwambie aende akaoge baharini tu kwenye chunvi OG!!
 
Kama kuna kikevi chochote unatumia Acha mara moja...
maana nna jamaa namfaham alikua anaanza kujifunza kuvuta BANGI/MARIJUANI Yeye alikua akiona kivuli cha ZIMWI/INSYUKA/GODIZILLA ama kiumbe cha ajabu kikimfata mda wote kumbe kwenye familia yao walikatazwa kutumia vitu hivi vya kilevi.
Hivyo nakushuri mkuu kama unatumia/unaonja/unajaribu kutumia kilevi chochote kile nakushauri Acha mara moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom