Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Abiria wako wamevaa maboya na kivuko kinaelekea kwenye boti za kwenda zanzibar.

Abiria wengine wamekosa maboya na hali ya wasiwasi imetanda
 
Asante kwa taharifa. Huku mafia tupo tayari kupokea wa ufukweni watakao letwa ma maji.
 
Katika hali isiyo ya kawaida leo alasiri saa kumi kasoro kivuko cha MV Kigamboni kimezima katikati ya maji wakati kikielekea kigamboni kikiwa kimejaa abiria na magari.

mpaka sasa bado abiria wapo ndani ya kivuko na jitihada za uokoaji zinaendelea. Hakuna kifo kilichoripotiwa

source; ITV & radio one
 
Kama kitazama au kupata hitilafu kubwa kikiwa hapo au hata abiria mmoja kupoteza maisha basi TZ tutakuwa vilaza wa mwisho kabisa kwenye masuala mazima ya uokoaji majini. Maana hapo karibu kuna kila aina ya msaada unaotakikana! Nawatakia simile wahanga wote walio ndani ya hicho kivuko watoke salama!
 
hiyo ndo tanzania halisi chini ya mawaziri mizigo wanaofanya kazi kwenye media, wengine kimya ofisini siku zisogee
Mambo ya chama cha mizigo wakicheza utasikia RIP tuombe Mola aepushe maana kizembe utasikia hatunao tena na pole zikitoka kama kawa
Serikali makini ichukue hatua kuzika sio sifa wala mafanikisho wala sio utu
 
hiyo ndo tanganyiikaaa chini ya mawaziri mizigo wanaofanya kazi kwenye media, wengine kimya ofisini siku zisogee
Mambo ya chama cha mizigo wakicheza utasikia RIP tuombe Mola aepushe maana kizembe utasikia hatunao tena na pole zikitoka kama kawa
Serikali makini ichukue hatua kuzika sio sifa wala mafanikisho wala sio utu
 
Kama kitazama au kupata hitilafu kubwa kikiwa hapo au hata abiria mmoja kupoteza maisha basi TZ tutakuwa vilaza wa mwisho kabisa kwenye masuala mazima ya uokoaji majini. Maana hapo karibu kuna kila aina ya msaada unaotakikana! Nawatakia simile wahanga wote walio ndani ya hicho kivuko watoke salama!

tuna kambi ya jeshi and they are well trained hapo kigamboni

things will be alright

Mungu awalinde
 
Tug za bandari zinasaidia kukivuta kukirejesha sehemu yake
 
Back
Top Bottom