Kivazi cha wanyakyusa.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
Wanyakyusa.jpg

Source:Mzee wa Sumo.

Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?
 
inabidi tudumishe mila zetu

Apo sasa,safi sana mkuu maana siku hizi dada zetu wakijinafasi na vimini watu kelele utafikiri fisi kaingia sokoni,ooh utamaduni wa mtanzania,sijui wanakiuka mila,haya mila zetu ndio hizo sasa, mbona mnawanyanyasa(MNAWANYANYAPAA) akina dada wakijivalia vimini vyao?
 
hapo umenena bro,kuna mdada mmoja alienda na kimini mahakamani lihakimu likammind eti..nilikasirika sana ..huyo halkimu anataka mdada wetu avae kanzu ?? hajui hata kuwa dsm kun joto? haya yote hayajui ..yaani ndio matatizo ya kuiba mitihani unakuwa sehemu amabayo hustahili
 
kama mtu anataka kupiga kimini apige kuwe na freedom lakini usivunje sheria za nji..ukibaka unakula mvua hata mia moja na ushee...
 
kama mtu anataka kupiga kimini apige kuwe na freedom lakini usivunje sheria za nji..ukibaka unakula mvua hata mia moja na ushee...

Hapo umesema baba,mbona zamani watu walikuwa wanavaa hivyo na hakukuwa na kesi za ubakaji wala nini,hii ya sasa hivi ni mibaradhuli tu ambayo hata kutongoza haijui,na ikitongoza inakataliwa kwa sababu mingine hata haiogi na mwisho wake inakimbilia kupigia kelele dada zetu na kuwabaka, mimi napendekeza mijamaa ya aina hiyo ifungwe mpaka ife kabisa.
 
Watu wa zamani sio wa watu wa leo kaka!!!!
Leo kuna saloon, misosi yenye kuongeza mihemko ya mwili na kila aina ya upambaji wa mahekalu. Ukumbuke pia tamaa imeonegezeka sio ya mali tu hata ya ngono haya yote yanatuzunguka. Kaazi kweli kweliiii
 
Mkuu naomba uwatazame vizuri hao wa kwenye hiyo picha hapo juu na naomba nikuulize swali,hivi hawa dada zetu wa kileo ukiwa naye chumbani na mko kama mlivyozaliwa wana tofauti gani na hawa walioko kwenye picha hii,kuna kitu chochote kilichobadilika katika miili yao?Mimi naona ni ubaradhuli tu wa mijitu baadhi ndio inayosingizia eti wanatutamanisha,kwani na sisi wanaume hatuwatamanishi?MBONA WAO HAWATUBAKI?
 
Hahahha sipati picha mtu kavaa hivi halafu umepanda daladala limejaaa hah ahahhahha
 
Wanyakyusa.jpg

Source:Mzee wa Sumo.

Nani aliyesema au anayesema kuwa utamaduni wa mtanzania ni kuvaa mavazi yanayofunika mwili mpaka chini?

Kumbe Mwakalinga akiwa UK anavaa hivyo na dada zake?

Lohh, Mtanzania aka Mwakalinga, kabila lenu la Wanyakyusa mko juu kwa kutunza mila.

Umwana tuvele.............
 
And you know what guys, vazi hili lilkuwepo mpaka in the late forties na early fifties!
 
Hahahha sipati picha mtu kavaa hivi halafu umepanda daladala limejaaa hah ahahhahha
Wanyakyusa walishaanza kuvaa bikini siku nyingi kabla ya wazungu!! Dala Dala utapanda wewe Maria, wanyakyusa wao ni kutembea tu na ndio maana wana usafiri wa nguvu sio kama nyie wachaga!! Hili vazi kama sikosei walikuwa wanavaa wakina mama wakati wakicheza ngoma yao "Indingara"
 
Zaidi sana na weza nikasema huu ni udhalilishaji uliofanywa na wakoloni in the name of missionaries or whatever the dogs.
Kwa kuangalia tu, hao watu hawako katika maisha ya kawaida hapo, aidha kuna sherehe, au kusanyiko fulani, au kitu kama ngoma or the kind!
Hiyo kwa kukadiria ni miaka ya 50-60s, na wana miamvuli kabisa hali inayoonyesha wakoloni/ustaarabu ushaingia huko zamani, isingewezekana hayo yawe ndo maisha ya kila siku!

Hapana Paka Jimmy. Hili vazi ni la wanyakyusa na linaitwa ILYABI ( say: eilyab'hi). Nimewahi kuona miaka ya late 70's ilikuwa ikitengenezwa kwa magome ya miti. Sikuona inavyovaliwa, lakini iliwekwa na babu yetu kama kumbukumbu. Ingawa sikushuhudia, lakini nyaya yetu , yaani mama yake na babu yangu alivishwa hilo vazi alipofariki mwaka 1977.
 
kivazi ni kizuri nyakati za joto lakini kinaharibu shepu ya wowowo,kinaifanya iwe flat.
NB.kwa hiyo wanyakyusa ndio waasisi wa bikini na G string nini!
 
ha ha ha ha ha ha Jamani hili vazi balaa limenichekesha sana. sasa inakuwaje hata hewa itatoka kweli! maana mhmmmmmmmmm! huo m-bano si kawaida!
 
Back
Top Bottom