Kivazi cha Kuogelea Kinapochanika Sehemu Mbaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivazi cha Kuogelea Kinapochanika Sehemu Mbaya!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Jul 2, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Kivazi cha Kuogelea Kinapochanika Sehemu Mbaya! Thursday, July 02, 2009 5:30 PM

  Mwanadada muogeaji maarufu wa nchini Italia aligubikwa na machozi baada ya kivazi chake cha utatanishi cha kuogelea kuchanika sehemu mbaya na kuweka wazi nyeti zake na kupelekea atupwe nje ya mashindano ya kuogelea. Picha zake mwisho wa habari hii. Flavia Zoccar nyota wa Italia wa mchezo wa kuogelea kwenye Olimpiki alipata bahati mbaya pale kivazi chake cha kuogelea cha utatanishi chenye ya thamani takribani Tsh. laki sita na nusu kilipochanika sehemu ambayo hakutegemea na kuweza wazi nyeti zake.

  Tukio hilo lilitokea jana kwenye mashindano ya michezo mbalimbali ya Mediterranean yanayoendelea nchini Italia.

  Flavia mwenye umri wa miaka 22 aliangua kilio pale waandaaji wa mashindano hayo walipomwambia kuwa hawezi kuendelea na mashindano akiwa katika kivazi hicho kilichochanika.
   
Loading...