kiuno, kiuno, kiuuuuuuno!

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,757
Habari Madaktari na Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto, kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani kias kwamba hata nikiwa kama na kibinya hakiumi, kilipata nafuu jana ila leo kimeanza tena kama mwanzo, nataka kujua hasa shida ni nini na tiba haswa nini!!

NOTE:
Toa mchango wakitaalamu zaidi na usiweke masihara tafadhali.
 
Habara Madaktari na
Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto,
kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani
kias kwamba hata nikiwa kama na kibinya hakiumi, kilipata nafuu jana ila
leo kimeanza tena kama mwanzo, nataka kujua hasa shida ni nini na tiba
haswa nini!!

NOTE:
Toa mchango wakitaalamu zaidi na usiweke masihara tafadhali.

kama wewe ni she mtafute boyfriend wako akinyoshe.
 
Fanya x-ray ya kiuno na ultrasound ya tumbo itakusaidia kujua tatzo nini........au naweza kukusaidia ni PM(serious)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habara Madaktari na Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto, kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani kias kwamba hata nikiwa kama na kibinya hakiumi, kilipata nafuu jana ila leo kimeanza tena kama mwanzo, nataka kujua hasa shida ni nini na tiba haswa nini!!

NOTE:
Toa mchango wakitaalamu zaidi na usiweke masihara tafadhali.

Tabibu wangu Lady doctor hebu njoo toa tiba kwa huyu mwanadamu hapa.

Usisahau hata mimi haka kaugonjwa kananisumbua sana.....
 
Last edited by a moderator:
Nakwambia Asprin hapa nimelalia mito 2 hapa kiunoni lakin wapi..nimekanda na kupaka salimia..ndio nasikilizia..dunia ina mambo yake...!
 
Last edited by a moderator:
Nakwambia Asprin hapa nimelalia mito 2 hapa kiunoni lakin wapi..nimekanda na kupaka salimia..ndio nasikilizia..dunia ina mambo yake...!
Mkuu hiyo makitu ikinitokea huwa napiga Diclopar, ndani ya nusu saa unakuwa fiti kama kawa. MR Diclopar ndo mwisho wa matatizo ya hiyo makitu wakati ukisubiria tiba halisi toka kwa wataalam
 
Tabibu wangu Lady doctor hebu njoo toa tiba kwa huyu mwanadamu hapa.

Usisahau hata mimi haka kaugonjwa kananisumbua sana.....

si uliniambia umepona, sasa shida ni nini tena?

Btw: nivyema aende hospital kwaajili yakufanya check up maana hapa kila mtu atataja sababu zake, maana sehemu yenyewe inayoumuuma ni tata eti..., lazima akutane na majibu ya mzaha, ila akishachukua vipimo ni rahisi kujua tiba yake
 
Last edited by a moderator:
no, jaribu kuwa mtafiti kabla ya ku post..me he..
Mara nyingine maumivu ya kiuno hutokana na shida iliyo kwenye uti wa mgongo (spine) wengine wasema. Aidha hii pia hutokana na umri wa mtu na occupation yake. Ningeshauri usichelee, nenda kwa daktari wako muone upimewe na upate ushauri uliomzuri. Ninachelea kukushauri la kufanya kama bado hujatoa shida yako kwa Daktari. Kumbuka kiuno kinaweza kuuma kutokana na inflamation iliyo mwilini kutokana na vinywelea vya magonjwa kama vile vya malaria nk, au uchovu pia.

Mara nyingi hatua ya kwanza ni kupata pain killer, iki-respond unaachana nayo, lakini ikiendelea muone daktari wako. Maana ikizidi inabidi daktari wako akutume kwa mabingwa wa magonjwa ya viuno kama hivyo. Pole ndugu yangu, afya ni muhimu.
 
Asprin unajua madhara ya hiyo nyekundu hapo chini?
utatembelea mikono badala ya miguu siku siyo nyingi, shauri yako.

Back
Top Bottom