Kiuno changu jamani

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Nina miezi kama mitatu hivi kiuno kinauma sana! Nimetumia dawa aina mbili ikiwemo Indocid lakini maumivu yanazidi. Nisaidieni kabla sijaamua kwenda hospital
 
Miezi mitatu unaumwa hujaenda hospitali! Tukusaidie nini sasa? kukupeleka hospitali?
 
Before maumivu hayakuwa makali na ndo maana nikaendelea na mishe zangu ila siku tatu sasa maumivu yamezidi ndo napanga kwenda. Hata dawa zimeandikwa maumivu yakizidi mwone daktari, sio maumivu kidogo safari hospital!
 
Kiongozi hata ukienda hospitali utapewa Analgesic(pain killer) tu tiba nzuri ni mazoezi(physiotherapy) au una umri gani?na mara ya mwisho kunjunja (ina sababisha sometimes) ilikua lini?
 
madocta toeni ushaur/tiba hata me nijue coz ni muhanga wa hilo tatizo.
 
Kiongozi hata ukienda hospitali utapewa Analgesic(pain killer) tu tiba nzuri ni mazoezi(physiotherapy) au una umri gani?na mara ya mwisho kunjunja (ina sababisha sometimes) ilikua lini?

Nina miaka 35, ni takribani miez 2 sasa sijafanya hivo ulivosema coz niko mbali na wife
 
Before maumivu hayakuwa makali na ndo maana nikaendelea na mishe zangu ila siku tatu sasa maumivu yamezidi ndo napanga kwenda. Hata dawa zimeandikwa maumivu yakizidi mwone daktari, sio maumivu kidogo safari hospital!

Uliandika hivi:

Nina miezi kama mitatu hivi kiuno kinauma sana! Nimetumia dawa aina mbili ikiwemo Indocid lakini maumivu yanazidi. Nisaidieni kabla sijaamua kwenda hospital

Nenda hospitali, wakishindwa, ndio njoo hapa tukupe tiba mbadala.
 
Hayo yote juu fanya baada ya kutoka hospitali bwana usije kutulaumu bure...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom