Kiuno chako saizi gani?


Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Messages
2,657
Likes
6,270
Points
280
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2016
2,657 6,270 280
Size yangu 14.
Napendelea shanga zenye mchanganyiko wa rangi za bluu, njano na kijani.
Naomba unitumie hiyo picha ya kiuno pm ikiwa na shanga zake. Mi ndio ugonjwa wangu huo
 
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
11,736
Likes
15,681
Points
280
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
11,736 15,681 280
Hahahaha

K' Matata nae ananing'inia ?
Aaah waapii, sindiria yenyewe ishanishinda nimeacha vitu vining'inie tuu ndani ya dera....
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
29,536
Likes
62,871
Points
280
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
29,536 62,871 280
Nishakujibu pm dear
Hahahaha

Umenikumbusha ,kuna mdada aliniomba cheni ya kiunoni ,ila hakunipa size ya kiuno chake

Kama atasoma hapa anikumbushe size ya kiuno, zawadi ya X Mass itamfaa
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
29,536
Likes
62,871
Points
280
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
29,536 62,871 280
Size ya kiuno kwa kweli siijui. Najua ya hips tu
 

Forum statistics

Threads 1,237,178
Members 475,465
Posts 29,280,425